Wanakula pensheni

Wapambe wa Jiwe hupenda kuwaita kama rejection, oil chafu, scraper nk.

Wanaisoma namba ile mbaya, ni mwendo wa kupiga mihayo, kupigwa vumbi na kupata kutu.
 
Siku hizi hata yale manguo ya kijani huwa hawataki kuyavaa tena, yanawatia kichefu chefu.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…