Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,209
Wana jamvi kwa masikitiko makubwa naleta hoja hii hapa jamvini kutokana na mauaji ya watu 8 katika kijiji cha Kibatini Tanga.
Pamoja na mauaji ya kikatili yaliyotokea sehemu nyingine kwa mtindo wa kuchinja haja yangu ipo hapa Tanga je serikali imeshindwa kuwalinda raia wake?
Siamini kabisa kwamba imefika wakati wananchi wanahama katika maeneo yao ya asili na kuenda kuanza maisha mapya sehemu nyingine.
Tanzania amekuwa nchi ya amani kwa kipindi kirefu lakini kwa sasa huko tunakokwenda ni giza kama imefika watu wanahama na serikali haijatoa tamko lolote hii ni aibu.
Ni imani yangu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vitasghulikia jambo hili ili mauaji kama haya yasitokee tena na wananchi waishi kwa amani na kufanya shughuli zao za kila siku.