Mbilimbi Mbovu
Senior Member
- May 25, 2015
- 185
- 119
Concentration yote iko kwenye magazeti ya udaku... lazima kuwe na athari za kimaadili kwa watoto kuwa exposed ktk visa na vituko hivyo ktk umri wao mdogo.
Hapo wanafuatilia Diamond kafanya nini
Habari kwny hilo gazeti linasema: diamond ampiga chini Wema, Wema apata bwana mpya....
Sasa hapo wakiingia darasani stori zote za wema na diamond tu. Enzi zetu tukiwa darasani stori ni kusimuliana hadithi tu
Wana roho mbaya hao, ndio huwa hawaoni hatari kutongoza vitoto. Kama mtu anayima maarifa ya bure hana utu...Muuza magazetu huyu mkarimu.
Kuna wauza magazeti wengine wanoko hawakawii kuwaambia madogo mnayo pesa ya kununua gazeti?
Hebu ondokeni
Umenena ....Wana roho mbaya hao, ndio huwa hawaoni hatari kutongoza vitoto. Kama mtu anayima maarifa ya bure hana utu...
Ndio mkuu, watoto wana mizuka ya kupata habari kwa sasa... Ni fursa adimu ya kuwajaza maarifa kabla hawajaingia kwenye usasa wa smartphone na vigodoro.Hao watoto wamesimama hapo kwa sababu shuleni kwao hakuna maktaba ambayo ingeweza kuwa na magazeti ya maana ya kila siku na kila wiki, na kuwa na vipindi vya maktaba vya kutosha ili wajisomee.