Wanajipenda na Wanajiamini=WAZURI

Wanajipenda na Wanajiamini=WAZURI

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
Katika mwimbo wa crooked smile wa J.Cole aligusia kuhusu kutojipenda au kutojithamini kwa wasichana wanaodhani hawakidhi mahitaji ya urembo......ambao hupelekea kufanya MAAMUZI MAGUMU ya kisichana kila mara kama kubadilisha viungo vya mwili na kujinyima kula kabisa(Faddy Diets)kama kigezo cha kutaka ku-fit kwenye society standards.....ni vizuri kuchunga afya yako lakini si vyema ku-abuse mwili wako na kupoteza UHAI wa furaha yako....kama ni mfupi basi JIKUBALI...kama ni kimbaumbau....JIKUBALI na kama umejaaaliwa mwili....JIKUBALI!

attachment.php
 
Attachments

  • Warembowakibantu.jpg
    Warembowakibantu.jpg
    44.7 KB · Views: 1,477
mimi na huyu jamaa tunawapenda sana ma miss Bantu ndio ulevi wetu,kwahiyo wala msihofu wanawake vibonge mjue ya kwamba tupo watu tunawapenda.Vibonge oyeee.

Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Katika mwimbo wa crooked smile wa J.Cole aligusia kuhusu kutojipenda au kutojithamini kwa wasichana wanaodhani hawakidhi mahitaji ya urembo......ambao hupelekea kufanya MAAMUZI MAGUMU ya kisichana kila mara kama kubadilisha viungo vya mwili na kujinyima kula kabisa(Faddy Diets)kama kigezo cha kutaka ku-fit kwenye society standards.....ni vizuri kuchunga afya yako lakini si vyema ku-abuse mwili wako na kupoteza UHAI wa furaha yako....kama ni mfupi basi JIKUBALI...kama ni kimbaumbau....JIKUBALI na kama umejaaaliwa mwili....JIKUBALI!

Wamependeza na rangi za nguo zao
 
Back
Top Bottom