Wanajiandaa Kuua, Tunajiandaa Kuwafunga

Usikute Muliro na idiots wenzake wanadhani kutii amri haramu kutoka kwa superiors wao ni defense inayokubalika kisheria!
 
Hatuwezi kuacha nchi ikatekwa na kuongozwa na wahuni, Mafia wachache kama Abdul, Samia, Kikwete Ridhwani, Wanu, Mwanaenzi, Mchengerwa.

Kodi zetu wanazitumia kutanua, zinazobaki kutuua, kututesa, kutufunga kutupoteza.
"Mwanaenzi", ni nani huyu?
Wooote na akina Hamza Johari; akina Madilu Nchemba, na takataka nyingi kama akina Makonda; takataka zote hizi hazifai kubaki zikitanua kwenye jamii iliyojikomboa.

Kila mmoja wao ni lazima ajibu juu ya maovu waliyowafanyia waTanzania.
 


Mtoto wa Samia amepewa ubunge wa viti maalumu. Hii nchi inabidi kusafishwa, uchafu wote kutupwa pembeni.

Takataka zote zijue hii nchi ina wenyewe. Kuanzia Rais, mawaziri wabunge, Madiwani, wakurugenzi wote, mahakama, chawa wote kama Mwijaku na wengine, taasisi zote lazima, muhimu kufanya usafi.
 
Tutaona kama ndugu zetu hawa somo hili wanalielewa au bado wanaendelea kulinganisha uhai wa watu na mabasi ya mwendo kasi...
Hawa siyo "ndugu zetu".

Na hawaui waTanzania "kulinda" chochote zaidi ya utawala wao.

Hapana. Tusijiandae "kuwafunga" tu. Hawa wanastahiri adhabu inayolingana na huko kuua wanakokufanya wao..
Tusisubiri kuwapeleka huko nje, tumalizane nao hapa hapa nyumbani.
 
Hivi niulize swali,nimekuta kesi za watu wawili sehemu,mmoja kaharibu nyumba ya mtu pamoja na kuichoma moto gari ya mtu,na mmoja kauwa watu 10000+tena kwa kukusudia kwa kutumia risasi za moto,ni yupi ana afadhali kwenye hii kesi?
Aliyeua. Sababu: kwa hawa wauaji, uhai wetu hauna umuhimu/thamani kama majengo au mabasi yao.
 
Wamejopanga kuua hawajali walicho ishafanya, wanajali zaidi wao ccm kuendelea kukaa madarakani.

Hawawezi kuacha kwasababu nimeona kwenye vikao vyao ccm wakiapishana kwa kupongezana kwa kazi nzuri waliyoifanya, hakuna nyingine bali kuteka, kupoteza, na kuua.

Mmeona wakijidai hawajali kabisa kuhusu mauaji waliyofanya wameendelea kutamba na kutuambia tutawaonyesha hiyo tarehe 9D mnayopigia kelele.

Polisi wao wauwaji wameandaliwa na wamejiandaa kuua, wanasema ICC haijaanza leo, na haiwatishi ccm wala polisi wao.

Mlioshuhudia tangu bungeni, halmashauri na wilayani zilikuwa ni chereko na nderemo kwa ccm kuapishana na kubeza waandamanaji na kusema kama hatukupata somo MO29 watarudia D9 ili tuelewe vizuri.

Hili halina ubishi tuandamane na D9 siyo maandamano ya amani.

Kungekuwa na amani maandamano yangekuwa na maana gani?

Anayetaka maandamano ya amani atangaze siku yake, haya ya D9 siyo na hayamuhusu.

Tukazungumze lugha wanayoisikia na kuielewa kwa sauti kubwa.
 
Amina na ije upesi. Itafutwe mbinu ya kulinda mashahidi ili wasilazimike kuachana na swala la kutoa ushahidi.
 
Yaani uangaliwe mpaka umalize kuchoma moto miji ndiyo upelekwe mahakamani!?
 
akizidiwa anaruhusiwa kufumua ubongo, ndo maana wakapewa bunduki zenye risasi, hawakupewa manati
 
Hawa lazima wawajibishwe siyo na ICC tu bali na sisi wenyewe. Binafsi nasubiri na nafanya ili kuona wanasimamishwa kwenye mahakama yetu wakibebwa kwenye makarandinga kama Lissu...
 
Maandamano si ghasia. Katafuteni pa kujifichia. Hamuweza kuniweka madarakani bila ridhaa ya umma, kisha tukae kimya kusubiri mtuteke, na kutunga sheria mbaya za kuwaweka madarakani kwa shuruti.
 
Kuna Rais wa Ufilipini Rodrigo Durterte huko mahabusu hapa The Hague...Kuna Raisi mwingine atakuja kuungana hapa

Hawajui hawa wanafikiri ni masihara, kuna wanyarwanda wamejazana humo ndani na watoto zao tuko nao kitaani wanalia. Hata Kagame mwenyewe ni wanted by the Hague ni matter of time tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…