Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
Folks, kila siku wanaenda wao tu, hata cuf walienda wakati wanachama wao ni wachache compared na jf. Twende na sie tukamuone jk 2mwambie matatizo yetu. Hebu fikiria pale saint ivuga ,the boss na nitonye wanashake hands na ******! Lizy anapiga story na mama salma. Zile juice na maji makubwa na sie tunayataka,halafu mle ndani kwa ukweli saana, invisible check na silva basi tuone!

magogoni is for us, ila namie lazima niende!kwani the boss, nitonye, saint ivuga? Mi napendekeza maxence, paw, invisible na pj kutoka a-town, huku mie nikiwa nyuma yao nimetinga gwanda naangalia usalama
magogoni is for us, ila namie lazima niende!
and then wat????????????????
He!kweli umeongea point na sie lazima tupewe nafasi!Folks, kila siku wanaenda wao tu, hata cuf walienda wakati wanachama wao ni wachache compared na jf. Twende na sie tukamuone jk 2mwambie matatizo yetu. Hebu fikiria pale saint ivuga ,the boss na nitonye wanashake hands na ******! Lizy anapiga story na mama salma. Zile juice na maji makubwa na sie tunayataka,halafu mle ndani kwa ukweli saana, invisible check na silva basi tuone!
Kuna wale wa kule jukwaa la siasa ndio wanaostahili kwenda,hao ulowataja labda wakamshauri jei kei kuhusu mapenzi.
POPOOOOO!
Mkuu Jk ni mtaalamu inatakiwa awe member wa jukwaa la chit-chat. ana msururu na wote nadhani anawamudu kwa wakati mmoja sijui.