WanaJF tungekuwa wakweli

Ndio kusema wewe huuishi uhalisia wa Maisha yako unapokuwa JF?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakula kwa wazazi wangu hata vocha ya kuingia hapa nimeiba ,,Leo nimetumwa nyama kilo tatu nikaleta 2.5 nika-save 3000/= ndo nmenunua vocha .Yaani kiufupi bado Mimi ni Mfugo kwa wazazi wangu .

Huo ndo Ukweli wangu karibu sasa tufanye biashara ya kuuziana mahindi ,karanga na maziwa kutoka huko kijiji kwako
 
Ni wazo zuri,nadhani kwa anayejisikia kuweka 'real ID' akatazwi,ila chamuhimu ni kujua unapata faida/hasara gani kwa kutumia hiyo ID.
 
That's why you sound pupy!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…