WanaJF naombeni msaada wenu

WanaJF naombeni msaada wenu

ole11

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
23
Reaction score
3
nilihitaji kujuzwa kwa mwenye ujuzi .. hii kazi ya " Insurance surveyor and loss assessor " kwa hapa kwetu Tz inakuaje na inalipa kweli ?.
 
Kakaole. pole kamamgeni. mwaya. manenoyangu. ndiounapata wachangiaji wengi. kukujibu samahani kutoka rohoni
 
Niliwahi kufanya intern kwenye kampuni moja hapa jijini ya bima as an underwriter....supervisor wangu alikuwa na cheo hicho cha uLoss Assessor.... kwa maono yangu ya mbali, niliona kama inalipa ndio. Itategemea unafanya na kampuni gani. Kuna kampuni zinazosifika kwa kutolipa au kuchelewesha kulipa claims! Sijui kama nimejibu ulichokuwa unataka.
 
asante kaka .. ninatarajia kidili na mashirika ya bima kwenye masuala ya magari tu ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom