Nilihitaji kujua kazi ya " Insurance surveyor and loss assessor " ipoje na inalipa kwa hapa kwetu Tz ?.Naombeni msaada wenu wanaJF kwa mwenye uelewa na mabo hayo.
itakua inalipa sana.tajiri anachoma gowdown,wewe unapewa kazi na boss kufanya loss assessment,tajiri anakukatia milioni mia.loss ya milion 500,unaandika bilion 2.