View attachment 115139
Inasadikiwa kuwa ndani ya huo mzigo kulikuwaku na fedha.Hapa ilikuwa ni mapambano na Magaidi wale wa Westgate kenya.
Utata wa hii dunia uko hapa.Wakati wapo wengi watakaokuwa wanaomba na kufanya juhudi kuzuia matukio kama ya westgate,wapo ambao maombi yao ni kinyume....,jiulize jirani yako maombi yake siku za ibada ni yapi?
habari zisizo rasmi zinasema wanajeshi waliuana kutokana na kugombea mali ndani ya westgate.
Habari zisizo rasmi zinasema wanajeshi waliuana kutokana na kugombea mali ndani ya Westgate.