Inasikitisha sana lkn ndio ukweli,askari waliopo DRC ni kama wametelekezwa .Nimeongea na askari wanaokuja likizo kutoka DRC wanalalamika sana kwanza hadi sasa hawajui watalipwa shilingi ngap mission ikiisha ambapo ni tofauti na askari wa mataifa mengine lakini pia hakuna kiongozi hata mmoja anaekwenda kuwatembelea pia ni tofauti na nchi nyingine ambapo wazir wa ulinzi amewatembelea mara nyingi,,,,pamoja na kwamba wapo chini ya UN lkn ni wanajeshi wetu.
Askari hawaruhusiwi kugoma wala hawana njia mbadala ya kuelezea masikitiko yao hivyo wapo kama kondoo tu. Nakumbuka mission ya Darful ambapo askari walilipwa kiduchu mno kwa kisingizio kuwa nchi yetu ni masikini, swali la kujiuliza UN wanatoa pesa zinakwenda wapi? Au ndio Neema za kuwa mkubwa ? Inasikitisha sana hawa wanajeshi wanafamilia zao ,,tusisubiri hadi afe ndio zitoke mil 70 ,,,wapeni hela zao zote.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mleta uzi sio siri umetumwa wewe askari wetu wa tz wako salama na wanalipwa vizuri sana ndo maana wakirudi hadi yule asie na cheo wanadrive wanajenga acha uchochezi wakoHakuna sehemu yenye ufisadi mkubwa na wa kutisha kama jeshini
Inasikitisha sana lkn ndio ukweli,askari waliopo DRC ni kama wametelekezwa .Nimeongea na askari wanaokuja likizo kutoka DRC wanalalamika sana kwanza hadi sasa hawajui watalipwa shilingi ngap mission ikiisha ambapo ni tofauti na askari wa mataifa mengine lakini pia hakuna kiongozi hata mmoja anaekwenda kuwatembelea pia ni tofauti na nchi nyingine ambapo wazir wa ulinzi amewatembelea mara nyingi,,,,pamoja na kwamba wapo chini ya UN lkn ni wanajeshi wetu.
Askari hawaruhusiwi kugoma wala hawana njia mbadala ya kuelezea masikitiko yao hivyo wapo kama kondoo tu. Nakumbuka mission ya Darful ambapo askari walilipwa kiduchu mno kwa kisingizio kuwa nchi yetu ni masikini, swali la kujiuliza UN wanatoa pesa zinakwenda wapi? Au ndio Neema za kuwa mkubwa ? Inasikitisha sana hawa wanajeshi wanafamilia zao ,,tusisubiri hadi afe ndio zitoke mil 70 ,,,wapeni hela zao zote.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mleta uzi sio siri umetumwa wewe askari wetu wa tz wako salama na wanalipwa vizuri sana ndo maana wakirudi hadi yule asie na cheo wanadrive wanajenga acha uchochezi wako
huwezi linganisha APR WA HUYO KAGAME WENU
Lisemwalo lipo maana , hakuna lisilowezekana Bongo. Askari wakawa wanapiga mzigo kuwadhibiti M23 na mshirika wao Kagame huku viongozi Wananehemesha Account zao South Africa na Kwingineko. Lisemalo lipo si bure malalamiko hayo..
Inawezekana hii ni biashara ya mkubwa ndo maana huwa yuko faster kupeleka majeshi yetu kwenye mission za UN anajua atavuna Bingo la UN la kutosha,na ndo maana kwenye mission zinazo simamiwa na AU awapeleki wanajua amna kitu kule..poleni wanajeshi kazi mnafanya nyinyi uko kongo ,mshahara wanakula wao hapa dar..aisee kwli hii nchi ukiipatia ni nyepes mno .ndo maana wachina hawataki kurudi kwao.
Kanywe maziwa ya punda ukalale wewe.