Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Mji ambao wanajeshi wa Russia walioukimbia kherson wakipokewa kwa mabusu motomoto . Kweli Ukraine kuna wanajeshi pis kali . Alaaniwe Mshenzi Putin .
😁😁😁😁 putin anahusika vipi sasa na chapati kupanda beiHuyu laana Putin sijui katoka wapi ? Chapati zimepanda bei mkuu .
Unaweza kuvaa patch ya nchi yoyote. But haimaanish hiyo nchi inahusikaNaona kwenye combat hapo kuna bendera ya Ukraine na USA, kwahiyo iko wazi kabisa kuwa vita hivi marekani anahusika moja kwa moja. Swali linakuja hapa sasa kuwa Putin aliahidi kuishambulia nchi yoyote itakayoisaidia Ukraine moja kwa moja, mbona hajafanya hivyo kwa USA?