Wanajeshi wa Ukraine waongea kwa uchungu baada kuvunjwa vunjwa viungo vyao huko Kherson

Huyu ni Rais wa moja ya nchi kubwa za NATO katamka haya,Tena hadharani.
Hlafu atakuja Mtindiga mmoja ataandika aya ndeeeefu na kuiponda Russia.
Edorgan anapata taarifa za Kila siku za Kijasusi na zisizo za Kijasusi juu ya NATO na Urusi anajua vitu vingi kama Rais kwa hiyo anachokisema anamaanisha.
Hata hao Marais wengine wa ulaya wanaujua ukweli ila Mkuu wa genge amewapotosha.
 
Kushinda vipi.yeye shida yake ni watu wa jamii ya warusi wawe huru,na kwa sasa wapo huru.unataka ushindi gani zaidi ya uwo?
Wawe huru kutoka kwa kina nani? Kwani raia wa Urusi wao wapo huru?....hizi propaganda zimefeli.
 
Hizi ni propaganda tu wala siamini. Walisema Russia ana silaha nyingi tena kali kuliko nchi zingine. Anashindwa kuipiga Ukraine?
Sasa hivi hana kisingizio, raia karibia wote wameshatoka Ukraine, wamebaki wanajeshi. Anashindwa kushusha kombora akamaliza vita chapu tu.
Miezi mingapi anapigana vita na Ukraine?
Hii vita Russia alikurupuka 100%, alifikiri ataipiga Ukraine kwa muda mfupi tu.
Ni sawa na kumkamia, mwanamke unachomeka unapiga tak mbili wazungu haooo, hapo mwanamke hamu ndiyo imeanza. Unajifuta, unakunywa maji, unavuta hisia tena, huku unasugua mashine, inasimama huku imelegea. Unaweka tena. Ndani ya dk 1 wazungu haoo, unaanza kusingizia muda mrefu haujafanya na sababu kibao. Kumbe gemu ni ngumu
 
Hivi kuna mtu na akili zake timamu anaamini Ukraine itawaondoa Urus kwenye maeneo waliyoshika tayari..achilia mbali kushinda vita???
Kweli kijeshi Russia yupo mbali ukilinganisha na Ukraine ila kama kweli raia wa Ukraine hawataki kutawaliwa na Russia basi Russia hawezi kuikalia Ukraine.naona ya Vietnam yana jirudia mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…