Wanajeshi wa Nigeria wahukumiwa kifo

Rugby Union

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
402
251
141218084431_nigeria_army_512x288_bbc_nocredit.jpg

Wanajeshi wa jeshi la Nigeria

Mahakama moja ya kijeshi nchini Nigeria imewahukumu kifo askari 54 kwa kukataa kupigana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram.

Wanajeshi hao ambao walipatikana na kosa la uasi, walituhumiwa kukataa kuikomboa miji mitatu iliyokuwa imetekwa na Boko Haram mwezi Agosti.

Wakili wa wanajeshi hao 54 alisema kuwa watawauwa kwa kupigwa risasi huku wengine watano wakiachiliwa huru.

Wanajeshi wamelalamika kuwa hawapewi silaha na mabomu ya kutosha kupigana na Boko Harm.

Kundi hilo limekuwa likipigana tangu mwaka 2009 na linalenga kujenga nchi inayoongozwa na sheria za Kiislamu kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Zaidi ya watu 2000 wameuwawa katika mashambulizi yaliyolaumiwa kufanywa na kundi hilo kufikia sasa mwaka huu na maelfu zaidi ya watu wamelazimishwa kuhama makwao kutokana na vita vinavyoendelea.

Koti hiyo ya kijeshi ilianza mwezi Oktoba na ilifanywa kwa siri. Viongozi wa kijeshi hawakupatikana kuzungumzia swala hilo.

Wakili anayewawakilisha, Femi Falana, alisema kuwa wanajeshi hao wote walituhumiwa ''kupanga njama ya kuasi dhidi ya mamlaka ya kikosi cha Divisheni ya 7 cha jeshi ya Nigeria.''

Wanajeshi wote walikataa mashtaka na hukumu hiyo inasubiri idhini ya maafisa wa ngazi za juu.

Katika kisa sawia mwezi Septemba, wanajeshi 12 walihukumiwa kifo kwa makosa ya uasi na jaribio la kumuua afisa wa jeshi katika mji wa kaskazini-mashariki wa Maiduguri.

BBCSwahili
 
Wanajeshi hao ambao walipatikana na kosa la uasi,walituhumiwa kukataa kuikomboa miji mitatu iliyokuwa imetekwa na Boko Haram mwezi Agosti.

Wakili wa wanajeshi hao 54 alisema kuwa watawauwa kwa kupigwa risasi huku wengine watano wakiachiliwa huru.

Wanajeshi wamelalamika kuwa hawapewi silaha na mabomu ya kutosha kupigana na Boko Harm.

Kundi hilo limekuwa likipigana tangu mwaka 2009 na linalenga kujenga nchi inayoongozwa na sheria za Kiislamu kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Zaidi ya watu 2000 wameuwawa katika mashambulizi yaliyolaumiwa kufanywa na kundi hilo kufikia sasa mwaka huu na maelfu zaidi ya watu wamelazimishwa kuhama makwao kutokana na vita vinavyoendelea.

Koti hiyo ya kijeshi ilianza mwezi Oktoba na ilifanywa kwa siri.Viongozi wa kijeshi hawakupatikana kuzungumzia swala hilo.

Wakili anayewawakilisha,Femi Falana,alisema kuwa wanajeshi hao wote walituhumiwa ''kupanga njama ya kuasi dhidi ya mamlaka ya kikosi cha Divisheni ya 7 cha jeshi ya Nigeria.''

Wanajeshi wote walikataa mashtaka na hukumu hiyo inasubiri idhini ya maafisa wa ngazi za juu.

Katika kisa sawia mwezi Septemba,wanajeshi 12 walihukumiwa kifo kwa makosa ya uasi na jaribio la kumuua afisa wa jeshi katika mji wa kaskazini-mashariki wa Maiduguri. chanzo.http://www.bbc.co.uk/swahi…/habari/…/12/141218_nigeria_jeshi
 
Endapo kma askari hwana silaha za kupambana na maadui. Je watapigana vipi na ikiwa kila mtu ana penda kuishi. Askari anaenda vitaniakiwa na amani na moyo wa kupigana kama atakuwa ametimiziwa mahitaji yote muhimu.

Hii ni kuonyesha Serikali na jeshi la Nigeria wamekosa mbinu mbadala ya kupambana na hawa washenzi Boko Haram na sasa wanamtafuta mchawi ndani ya jeshi lao.

Serikali Wanatakiwa kukaa chini na kutafakari jinsi ya kupambana na siyo kuwatisha Askari wake.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Unfair trial brings unfair jurgements
141218084431_nigeria_army_512x288_bbc_nocredit.jpg

Wanajeshi wa jeshi la Nigeria

Mahakama moja ya kijeshi nchini Nigeria imewahukumu kifo askari 54 kwa kukataa kupigana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram.

Wanajeshi hao ambao walipatikana na kosa la uasi, walituhumiwa kukataa kuikomboa miji mitatu iliyokuwa imetekwa na Boko Haram mwezi Agosti.

Wakili wa wanajeshi hao 54 alisema kuwa watawauwa kwa kupigwa risasi huku wengine watano wakiachiliwa huru.

Wanajeshi wamelalamika kuwa hawapewi silaha na mabomu ya kutosha kupigana na Boko Harm.

Kundi hilo limekuwa likipigana tangu mwaka 2009 na linalenga kujenga nchi inayoongozwa na sheria za Kiislamu kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Zaidi ya watu 2000 wameuwawa katika mashambulizi yaliyolaumiwa kufanywa na kundi hilo kufikia sasa mwaka huu na maelfu zaidi ya watu wamelazimishwa kuhama makwao kutokana na vita vinavyoendelea.

Koti hiyo ya kijeshi ilianza mwezi Oktoba na ilifanywa kwa siri. Viongozi wa kijeshi hawakupatikana kuzungumzia swala hilo.

Wakili anayewawakilisha, Femi Falana, alisema kuwa wanajeshi hao wote walituhumiwa ''kupanga njama ya kuasi dhidi ya mamlaka ya kikosi cha Divisheni ya 7 cha jeshi ya Nigeria.''

Wanajeshi wote walikataa mashtaka na hukumu hiyo inasubiri idhini ya maafisa wa ngazi za juu.

Katika kisa sawia mwezi Septemba, wanajeshi 12 walihukumiwa kifo kwa makosa ya uasi na jaribio la kumuua afisa wa jeshi katika mji wa kaskazini-mashariki wa Maiduguri.

BBCSwahili
 
The Nigerian government is doing nothing to combat boko haram yet it wants its young soldiers to go and get killed by the merciless boko haram!!!! It is very unjust for killing these innocent young lives!!! I pray that our God of Abraham intervenes and saves these young souls!!! Kwanini hiyo mizee inyoonekana hapo pichani haiendi kupigana na hao boko haram bila silaha?? Wanawaonea vijana hao. Wakiwaua laana hiyo ya kuua damu isyo nahatia itakuwa juu yao!!!!

Back
Top Bottom