wanajamvi eh! na hii

wanajamvi eh! na hii

Luccy Godwin

Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
20
Reaction score
0
wadau nina shahada ya ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU YA JAMII naombeni msaada wenu nimezunguka sana kutafuta kazi bila mafanikio plz nipeni mwelekeo maisha magumu
 
Wewe si ni Mwalimu? Kafundishe. Wenzio wanaochagua hiyo kozi huwa ni wale walioko kwenye Utumishi i.e Inservice
 
Nakushauri andika barua moevt ya kuomba kazi ya kufundisha ambatanisha na vyeti vyako vyote
 
Back
Top Bottom