mrs konk
Member
- Nov 17, 2018
- 54
- 97
Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Ninahitaji vijana wenzangu watakaokuwa tayari tushirikiane kufanya kazi kwa kutafuta masoko ya bidhaa zetu ambazo ni mafuta ya kupikia ya alizeti na sabuni za maji (huko mbele Mungu akijaalia tutaongeza bidhaa). Ofisi ipo Dar, Ukonga.
Vigezo ni awe kijana mwenye kiu ya mafanikio na mwaminifu, umri kati ya miaka 22-30, elimu yoyote na jinsia yoyote. Kwa atakaekuwa tayari naomba tuwasiliane PM.
Kuhusu malipo, tutalipana kwa commission na tutakubaliana kama ni kwa siku, wiki au mwezi kulingana na muhusika atakavyopenda.
Asanteni