Wanahitajika watu 8 wa Sales (mauzo)

Wanahitajika watu 8 wa Sales (mauzo)

Kansila 85

New Member
Joined
May 21, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Habari zenu!, Kunahitajika haraka watu nane wa Sales kwenye maduka (Supermarket) .Elimu ni ngazi ya cheti na stashahada ya sales, marketing, procurement ,finance ,business administration /management .kama uko interested tuma barua ya maombi pamoja na CV kwenye email address. kansilapatrick85@gmail.com.
 
Hawa ndio wale wanaotaka kuigilizia barua za wenzio....

Wewe weka hapa jina la supermarket hiyo. Na website hiyo...kama ipo..ikibidi na tangazo la kuwautaji hao wauzaji..kama lipo..
..watu bhana
 
Back
Top Bottom