hadi huku mpo kumbe, daaaah mlinitapeli vibaya saba nyie jamaa ! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200
Eneo la usahili: Dar es salaam.
Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.
Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.
Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 431
Source: BENEDICT KIMBUSU on LinkedIn: Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 *Eneo la…
Nimeweka source ya habari.hadi huku mpo kumbe, daaaah mlinitapeli vibaya saba nyie jamaa ! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ada ya usajili tunatuma kwa namba ipi?50,000 x 10,000 ,= 500,000,000 TSH. Mjini mipangoWanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200
Eneo la usahili: Dar es salaam.
Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.
Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.
Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 431
Source: BENEDICT KIMBUSU on LinkedIn: Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 *Eneo la…
Source ya habari wapi wew unahusikia na utapeli wew ajira za watu 200 kweli usiweke jina la kampuni wala contacts ebu sepeni sio vzuriNimeweka source ya habari.
Nimeweka source ya habari acha kulaumu watu usio wafahamu.Source ya habari wapi wew unahusikia na utapeli wew ajira za watu 200 kweli usiweke jina la kampuni wala contacts ebu sepeni sio vzuri
Duh,Ongezea pia, wawe na figo zenye afya.
Sawa Ila nataka useme wewe ni tapeli Kama watu wasemavyo ili nikukamateNimeandika nikafuta nikafuta tena. Nimeona nitulize akili yangu.
Jaribu NYINGINE hii wamestuka jombaaNaomba tuheshimiane shamimuodd . Heshima ni kitu cha bure kabisa.
Soma kwanza hapa: Kukabiliana na Changamoto za Upungufu wa Dola na Kuongezeka kwa Bei za Mafuta serikali ifanye mambo yafuatayoSawa Ila nataka useme wewe ni tapeli Kama watu wasemavyo ili nikukamate
Basi siji kukukamata nimedhibitisha wewe sio tapeli wanakusingizia kabisa rafiki yangu .
$ elfu ngapi kwa wiki?Mshahara: Ni mzuri sana
Hapana sio yeye.Tapeli huyu
Naijua hiyo ruti. Mwaka 2013 nilisafiri kutoka Zurich (Switzerland) hadi Tuttlingen (Germany).Niko chini ya 30 ila nmeendesha oversize tairi 44 trip nlizopiga ni Stuttgart city(German) kwenda Tremola(Switzerland) kwa zaidi ya mwaka mmoja njia zenye milima na kona kali mizigo yenye tons 70+ vipi naweza kupata kazi?
Ruti ya Lech uliwahi kwenda?Naijua hiyo ruti. Mwaka 2013 nilisafiri kutoka Zurich (Switzerland) hadi Tuttlingen (Germany).
Utapasuka wewe.Niko chini ya 30 ila nmeendesha oversize tairi 44 trip nlizopiga ni Stuttgart city(German) kwenda Tremola(Switzerland) kwa zaidi ya mwaka mmoja njia zenye milima na kona kali mizigo yenye tons 70+ vipi naweza kupata kazi?
We acha kazi yako hiyo ya udokta mifugo kaa nyumbani utaelewa maana yake mkuu, yaaani hadi mkeo atakuona mbuziHivi huu msemo una maana gani hasa Mkuu