Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,263
- 12,197
Wajiandae kutapeliwa, yaani hapo utaambiwa tuma vyeti, leseni, baada ya hapo cheti cha fire, so hivyo vyeti watu wengi havijawa certified na wanasheria so tapeli wewe utawaambia watume hela vigongwe mhuri wa mwanasheria na kila cheti ni shs 10,000 mpaka 30,000, kama hana cheti cha fire ni kama 40,000 mpaka 50,000, baada ya hapo tapeli wewe utapotea.Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200
Eneo la usahili: Dar es salaam.
Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.
Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.
Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 4313
Tapeli huyuMshahara mzuri sana ndo upoje?
Huyu ni tapeli
Tapeli achaneni nayeKazi ni kipimo cha UTU!!
Ni kweli kwamba wewe ni tapeli Kama wasemavyo watu hapa ?Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200
Eneo la usahili: Dar es salaam.
Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.
Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.
Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 4313
Naomba tuheshimiane shamimuodd . Heshima ni kitu cha bure kabisa.Tapeli huyu
Hivi huu msemo una maana gani hasa MkuuKazi ni kipimo cha UTU!!
Labda kama humjui huyu member,sio umdhaniavyoWajiandae kutapeliwa, yaani hapo utaambiwa tuma vyeti, leseni, baada ya hapo cheti cha fire, so hivyo vyeti watu wengi havijawa certified na wanasheria so tapeli wewe utawaambia watume hela vigongwe mhuri wa mwanasheria na kila cheti ni shs 10,000 mpaka 30,000, kama hana cheti cha fire ni kama 40,000 mpaka 50,000, baada ya hapo tapeli wewe utapotea.
KumbeLabda kama humjui huyu member,sio umdhaniavyo
Nimeandika nikafuta nikafuta tena. Nimeona nitulize akili yangu.Ni kweli kwamba wewe ni tapeli Kama wasemavyo watu hapa ?
Kama kweli ni tapeli jibu haraka maana nawatafuta watu Kama nyie
mtu pekee ndiye awezaye kufanya kazi, mnyama anaweza kufanya kazi ila huwa hajui kama anafanya kazi, ndio maana huwa hawezi kudai malipo/mshahara.Hivi huu msemo una maana gani hasa Mkuu
Tapeli achaneni naye
Naomba futa hii comment yako boss. Umesha nichafulia Jina hapa.Tapeli achaneni naye