vizuri π€Ww ni wangu tu πππβ€οΈ ninaamani my love
Leejay49 mtoto mkali amependa hayo masharubuπmshamba_hachekwi naona unacheka cheka vipi embu na ww kitulize huko
acha ujinga dogo mwanaume kiuno πEmbu kitulize na ww ulitaka apende nn sasa mwanaume ndevu bana, π au uongo kipenzi Leejay49
Kiuno ni mpaka 6 kwa 6 mkuu,acha ujinga dogo mwanaume kiuno π
sharti la kumchukua ni moja tu πKiuno ni mpaka 6 kwa 6 mkuu,
Ila sasaivi ngoja nilijenge jimbo langu tutafika huko tu ππ
Lipi hilo tena anayetoa masharti ni yy si ww π πsharti la kumchukua ni moja tu π
Leejay49 njoo useme ni gari gani ile yenye unataka....Lipi hilo tena anayetoa masharti ni yy si ww π π
funguka mama ye34nbe aelewe ameingia balaa gani....nilitaka nishangaeπππππππ
Ww magari ya nn mamiloo moyo wangu unatosha kufurahia penzi letu ππ₯°π₯° achana na maneno ya huyu boya mshamba_hachekwi acha tujenge jimbo letunilitaka nishangaeπππππππ
π π π π π Hiyo sintoshindwa kabisa kipenzi wala usiwaze, nilidhani unataka v8 ww aseee ingekuwa shidahamuishi kunisakama walimwengu ππ , eti ye34nbe kipenzi crown athlete utashindwa kuninunulia jamaniπππ€
usisahau pia uje na jasho la samaki, na jogoo wawili mashogaπ huo ndo utaratibu wetu....π π π π π Hiyo sintoshindwa kabisa kipenzi wala usiwaze, nilidhani unataka v8 ww aseee ingekuwa shida
Athlete utapata acha muda utaongea π