klabu ya waandishi wa habari kilimanjaro ilifanya mkutano wake mkuu tarehe 28.12.13 na kama kawaida wa viongozi wake ambao wamekidhiri kwa ubadhirifu na ufisadi uliendeshwa kibabe huku wanachama wakikosa haki zao za msingi
kwanza kabisa mkutano huo ulichelewa kuanza kwa makusudi kabisa ili watu washindwe kuchangia hoja za msingi mbinu ambayo viongozi hao mafiasadi walifanikiwa na kuna taarifa ya kuwa mbinu hiyo walipewa na uongozi wa utpc taifa kupitia kwa mkuruigenzi wake fisadi abubari kasan.
baada ya kikao kuanza mwenyekiti wake makundi alikuwa akikipeleka haraka harka kwa madai ya kuwa ukumbi muda wake unachelwa wakati wao ndiyo walichelewa kuanza mkutano. Koram ilitimia tangu zaa 4, mkutano ukaanza saa 8.
kwenye ajenda zilizojadiliwa kulikuwa na taarifa za utata ambazo viongozi hawakuwa tayari kuzitolea ufafanuzi unaohitajika na badala yake wakawa wanatoa majibu ya mkato
kwa mfano kuhusu swala la ardhi ya kilabu huko hai, viongozi walidai kuwa wameshawasiliana na mkurugenzi wa halmashauri ya hai mara 5 bila mafanikio yoyote. Hili halina ukweli kabisa kwa sababu tayari kuna taarifa ya kuwa viongozi wa meki tayari wameshawishiwa na mkurugenzi huyo ili eneo hilo apewe mfanyabiashara mmoja maarufu kutokana na eneo hilo kuwa zuri kibiashara. Taarifa za siri zinaonyesha kuwa mfanyabiashara huyo kwa kushirikiana na mkurugenzi huyo walitoa shilingi m,ilioni 28 kwa viongozi wa meki watatu, mweneykiti makundi, katibu nakajumo, mweka hazina msaidiizi mushi busagaga na kwamba tayari wameanzisha biashara ya bodaboda
tayarii pia kuna fununu ya kuwa kilabu itapewa kiwanja sehemu nyingine ambayo haina mvuto kama ile ya kwanza kibiashara. Alietoa siri hiyo mbele ya moja ya mikutano ya meki venanse maleli alinyamazishwa kwa kupewa kiasi cha fedha mbalil ya kwamba ni mshirika wa karibu wa mwenyekiti makundi kwa vile kuna taarifa maleli huwa anampeleka kwa sangoma mmoja huko rombo
pia viongozi walikuwa wakali pale tulipohoji matumizi ya kamera na malipo yake kutokana na malipo hayo kuonekana madogo. Taarifa zinaonyesha ya kuwa kamera imeingiza shilingi laki 3 ikiwa na maana ilikodishwa kwa siku 30 tu kwa mwaka mzima kwa malipo ay shilingi 10,000 kila siku
ukweli ni kwamba mkutano huu umekuwa ni kutonesha kidonda kwa waansihi wa habari kilimanjaro kwa vile tayari kuna taarifa ya kuwa viongozi hao wanatumia jina la kilabu navifaa vyake kuingiza fedha kwa manufaa yao wenyewe. Kwa mfano kiongozi mmoja busagaga huwa anaichukuwa kamera na kwenda kwenye matukio kwa ajili ya mitandao mbalimbali huku akiwachaji wahusika wanaotaka taarifa zao ziwekwe kwenye mitandao hiyo shilingi 30,000 kwa mdai ndiyo bei ya kilabu. Viongozi wake wanajua sana.
viongozi hao pia hivi majuzi walikwenda kwenye taasisi moja nyeti hapa kilimanjaro na kudai kuwa kilabu ina miradi inaanzisha kwa manufaa ya wanachama wake na wakapewa shilingi milioni 2 wakati hakuna miradi ambayo imeanzishwa hadi sasa