Wanahabari Iringa wakana kuhongwa na CCM

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard kulia akitoa msimamo wa wanahabari dhidi ya gazeti la Rai na mbunge Msigwa leo ,kushoto ni katibu mtendaji wa IPC Francis Godwin
Wanahabari Clement Sanga kushoto akiwa na mwakilishi wa New habari {2006} Ltd wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania , Rai na Bingwa mkoa wa Iringa Mercy Mwalusamba wakati wa kikao cha cha wanahabari mkoa wa Iringa leo kujadili habari zilizoandikwa na gazeti la rai jumapili

Wanahabari wakifuatilia kwa makini kikao hicho

WANAHABARI mkoani Iringa wamekanusha vikali habari zilizoandika na gazeti la Rai toleo namba 1067 la jumapili wiki iliyopita kuwa wanahabari mjini Iringa wamehongwa fedha na viongozi wa CCM mkoa wa Iringa ili wasiandike habari ya msaidizi wa mbunge Wiliam Lukuvi Bw Thom Malenga kukamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili.

Wahanabari hao katika kikao chao kilichofanyika leo katika ofisi za klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) mbali ya kukanusha habari hizo kuwa zimeandikwa kwa lengo la kuchafua tasnia ya habari mkoa wa Iringa ila bado wanalitaka gazeti la Rai na mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa kuwataja waandishi waliohongwa na viongozi wa CCM mkoa wa Iringa kabla ya wanahabari hao hawajachukua hatua zaidi dhidi ya gazeti la rai pamoja na mbunge Msigwa.

"Kilichoandikwa na gazeti la Rai jumapili kuhusu wanahabari Iringa hawajatutendea haki na wametuvunjia heshima yetu kwa wadau wa habari mkoa wa Iringa na nje ya mkoa wa Iringa.....ila tunachotaka Rai kuwataja waandishi hao waliohongwa ili sisi kwa sisi kama wanahabari kuanza kuchukuliana hatua ....wakishindwa kufanya hivyo ndani ya siku 14 kuanzia leo jumanne tutawafikisha baraza la habari Tanzania (MCT)"

Walisema wanahabari hao katika tamko lao la pamoja lililotolewa na mwenyekiti wa IPC Frank Leonard kuwa taarifa hiyo imechafua vibaya wanahabari Iringa na sio wacache ni wote kutokana na jinsi ambavyo gazeti hilo lilivyoandika habari hiyo tena mbaya zaidi mwandishi wa habari hiyo hakuweza kuwatendea haki wanahabari Iringa hata kwa kuonyesha kuwahoji katika habari yake hiyo.

Leonard alisema kuwa si kweli kama wanahabari Iringa walishindwa kuandika habari hiyo ya kukamatwa kwa Malenga isipo kuwa wanahabari Iringa ni makini na hawakutaka kuandika habari kwa kukurupuka hivyo walitaka kabla ya kuandika kuweza kumpata msemaji wa kikosi hicho cha kupambana na ujangili ili kulizungumzia hilo kabla ya kuandika jambo ambalo wao kama wanahabari walikuwa wakilisikia mitaani bila kuwa na uhakika.

Uandishi wa habari mzuri ni pamoja na kuzingatia maadili ya uandishi na sio kuandika bila ya kuwa na uhakika wa kile unachokiandika .

Hata hivyo alisema kwa kuwa mbunge Msigwa amenukuliwa katika gazeti hilo kama ndio msemaji wa jambo hilo wao kama wanahabari watamwandikia barua mbunge huyo ili kusaidia kuwataja wanahabari waliohongwa pesa vinginevyo wao kama wanahabari wa mkoa wa Iringa hawatamvumilia mbunge Msigwa katika hilo .

Pia alisema kuwa suala hilo kwa sasa ameachiwa mwanasheria wa IPC ili kulifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kuwaandikia barua Rai na mbunge Msigwa kuwataka kuthibitisha ukweli wa kilichoandikwa dhidi ya wanahabari mkoa wa Iringa.
chanzo: Francis Godwin ::Mzee wa matukio daima::: WANAHABARI IRINGA WALIBANA GAZETI LA RAI WATAKA LITAJE MAJINA YA WAANDISHI WALIOHONGWA NA VIONGOZI WA CCM MKOA WA IRINGA

Waandishi mnaweza kukutana na kuungana kulaani, lakini humo humo mnazungukana. Tuambieni msimamo wa kutoandika habari za Jeshi la Polisi kama mdau wa kutiliwa shaka baada ya kifo cha Mwangosi? Sio siri Waandishi wa Tanzania na Wahariri wenu nyie ndio kikwazo kwa maendeleo ya nchi. Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa, serikali ikasema ni kwa ajili ya kuandika uchochezi baadaye Rais akasema lilikuwa linahamasisha wanajeshi kuasi, hadi leo hamjawahi kusema kuwa Rais kadanganya. Kuna Mambo mengi ya kitaifa mnashindwa kutuandikia kwa kuwa mnazungukana kwa rushwa za bahasha tena za elfu kumi tu, ndio ugonjwa wenu. Hapo mnajifanya mmechukia wapo wanaocheka kwa ndani mmehongwa! au wamehongwa baadhi mnatuhadaa.

Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard kulia akitoa msimamo wa wanahabari dhidi ya gazeti la Rai na mbunge Msigwa leo ,kushoto ni katibu mtendaji wa IPC Francis Godwin
Wanahabari Clement Sanga kushoto akiwa na mwakilishi wa New habari {2006} Ltd wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania , Rai na Bingwa mkoa wa Iringa Mercy Mwalusamba wakati wa kikao cha cha wanahabari mkoa wa Iringa leo kujadili habari zilizoandikwa na gazeti la rai jumapili

Wanahabari wakifuatilia kwa makini kikao hicho

WANAHABARI mkoani Iringa wamekanusha vikali habari zilizoandika na gazeti la Rai toleo namba 1067 la jumapili wiki iliyopita kuwa wanahabari mjini Iringa wamehongwa fedha na viongozi wa CCM mkoa wa Iringa ili wasiandike habari ya msaidizi wa mbunge Wiliam Lukuvi Bw Thom Malenga kukamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na ujangili.

Wahanabari hao katika kikao chao kilichofanyika leo katika ofisi za klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) mbali ya kukanusha habari hizo kuwa zimeandikwa kwa lengo la kuchafua tasnia ya habari mkoa wa Iringa ila bado wanalitaka gazeti la Rai na mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa kuwataja waandishi waliohongwa na viongozi wa CCM mkoa wa Iringa kabla ya wanahabari hao hawajachukua hatua zaidi dhidi ya gazeti la rai pamoja na mbunge Msigwa.

"Kilichoandikwa na gazeti la Rai jumapili kuhusu wanahabari Iringa hawajatutendea haki na wametuvunjia heshima yetu kwa wadau wa habari mkoa wa Iringa na nje ya mkoa wa Iringa.....ila tunachotaka Rai kuwataja waandishi hao waliohongwa ili sisi kwa sisi kama wanahabari kuanza kuchukuliana hatua ....wakishindwa kufanya hivyo ndani ya siku 14 kuanzia leo jumanne tutawafikisha baraza la habari Tanzania (MCT)"

Walisema wanahabari hao katika tamko lao la pamoja lililotolewa na mwenyekiti wa IPC Frank Leonard kuwa taarifa hiyo imechafua vibaya wanahabari Iringa na sio wacache ni wote kutokana na jinsi ambavyo gazeti hilo lilivyoandika habari hiyo tena mbaya zaidi mwandishi wa habari hiyo hakuweza kuwatendea haki wanahabari Iringa hata kwa kuonyesha kuwahoji katika habari yake hiyo.

Leonard alisema kuwa si kweli kama wanahabari Iringa walishindwa kuandika habari hiyo ya kukamatwa kwa Malenga isipo kuwa wanahabari Iringa ni makini na hawakutaka kuandika habari kwa kukurupuka hivyo walitaka kabla ya kuandika kuweza kumpata msemaji wa kikosi hicho cha kupambana na ujangili ili kulizungumzia hilo kabla ya kuandika jambo ambalo wao kama wanahabari walikuwa wakilisikia mitaani bila kuwa na uhakika.

Uandishi wa habari mzuri ni pamoja na kuzingatia maadili ya uandishi na sio kuandika bila ya kuwa na uhakika wa kile unachokiandika .

Hata hivyo alisema kwa kuwa mbunge Msigwa amenukuliwa katika gazeti hilo kama ndio msemaji wa jambo hilo wao kama wanahabari watamwandikia barua mbunge huyo ili kusaidia kuwataja wanahabari waliohongwa pesa vinginevyo wao kama wanahabari wa mkoa wa Iringa hawatamvumilia mbunge Msigwa katika hilo .

Pia alisema kuwa suala hilo kwa sasa ameachiwa mwanasheria wa IPC ili kulifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kuwaandikia barua Rai na mbunge Msigwa kuwataka kuthibitisha ukweli wa kilichoandikwa dhidi ya wanahabari mkoa wa Iringa.
chanzo: Francis Godwin ::Mzee wa matukio daima::: WANAHABARI IRINGA WALIBANA GAZETI LA RAI WATAKA LITAJE MAJINA YA WAANDISHI WALIOHONGWA NA VIONGOZI WA CCM MKOA WA IRINGA

wakiongozwa na mnafiki namba 1 Francis Godwin anamtetea sana Lukuvi kwasababu anamsaidia kumjengea nyumba Hili jamaa ndo kanjanja nambar 1
 
Hawa hawa tena? Mie simo.

February 29, 2012

BAADA YA UONGOZI WA MKOA KUWANYANYASA ,WANAHABARI IRINGA WASUSA KURIPOTI HABARI ZA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DK BILAL

Wanahabari mkoani Iringa wameeleza kusikitishwa na unyanyasaji mkubwa uliofanywa na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kwa kushindwa kuwapatia malazi wakati wa ziara ya makamu wa Rais Dr Mohamed G. Bilal na kutokana na unyanyasaji huo wanahabari hao wamefanya mgomo baridi na kukusudia kukutana siku ya jumamosi kwa ajili ya kuitisha maandamano makubwa ya kupinga hatua ya mkoa kutovidhamini vyombo vya habari.

Katibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard amesema kuwa kutokana na hali iliyojitokeza katika ziara hiyo kwa wanahabari kuteseka kwa kukosa sehemu za kulala kwa kipindi chote cha siku mbili ambacho walikuwa katika ziara hiyo katika wilaya za Makete ,Njombe na Mufindi .

Mtandao huu umeshuhudia (www.francisgodwinblogspot.com) wanahabari hao wakiwa katika mgomo baridi na wakati wote makamu wa Rais akiwa anahotubia wananchi AMA Kutembelea miradi hakuna mwanahabari ambaye alikuwa akijihusisha kupiga picha AMA kuchukua taarifa hizo zaidi ya kujikusanya makundi na kuendelea na kupiga stori binafsi.
 
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard kulia akitoa msimamo wa wanahabari dhidi ya gazeti la Rai na mbunge Msigwa leo ,kushoto ni katibu mtendaji wa IPC Francis Godwin
Wanahabari Clement Sanga kushoto akiwa na mwakilishi wa New habari {2006} Ltd wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania , Rai na Bingwa mkoa wa Iringa Mercy Mwalusamba wakati wa kikao cha cha wanahabari mkoa wa Iringa leo kujadili habari zilizoandikwa

matukio gani hata fununu2 hazikuandikwa mzee wamatukio gani
 
wakiongozwa na mnafiki namba 1 Francis Godwin anamtetea sana Lukuvi kwasababu anamsaidia kumjengea nyumba Hili jamaa ndo kanjanja nambar1
hata mimi nikashangaa anajiita mzee wa matukio kumbe umbea tu
 
Your 100% right ukitaka kujua wewe fungua www.francisgodwinblogspot.com. huyu kijana ni mpwa wa Lukuvi alijua binamu yake Tom malenga yuko ndani hakuandika. Anagalia leo kwenye blog yake uone anavyoshambulia vyombo vya ulinzi. fungua tu hiyo blog pitia habari zake utaoana kuwa hujakosea kumwita mnafiki. IPC inafuata mkumbo.
 
Back
Top Bottom