MSIMISEKI SENIOR JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 459 Reaction score 287 Dec 6, 2015 #1 Natanguliza samahani. Habari hii nimeisikia kupitia Radio One saa mbili usiku bahati mbaya nimekuta ndio inamalizika. Nimesikia kama serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu. Mwenye taarifa sahihi plz atujuze.
Natanguliza samahani. Habari hii nimeisikia kupitia Radio One saa mbili usiku bahati mbaya nimekuta ndio inamalizika. Nimesikia kama serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu. Mwenye taarifa sahihi plz atujuze.
Y YONGOMA JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 276 Reaction score 113 Dec 6, 2015 #2 Ni kweli! Wewe jiandae kupiga kitabu.
Darius Tanz JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 461 Reaction score 137 Dec 6, 2015 #3 Ni kweli maana kuna mtu yupo mzumbe ametoka diploma na amepata mkopo
MSIMISEKI SENIOR JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 459 Reaction score 287 Dec 6, 2015 Thread starter #4 YONGOMA said: Ni kweli! Wewe jiandae kupiga kitabu. Click to expand... Asante itakuwa vyema sana. Mimi nilishamaliza may be wakianza kutoa kwa Masters. Sema tu wadogo zetu waliokuwa wamekosa ilikuwa headache sana kwetu walezi na wazazi
YONGOMA said: Ni kweli! Wewe jiandae kupiga kitabu. Click to expand... Asante itakuwa vyema sana. Mimi nilishamaliza may be wakianza kutoa kwa Masters. Sema tu wadogo zetu waliokuwa wamekosa ilikuwa headache sana kwetu walezi na wazazi
MSIMISEKI SENIOR JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 459 Reaction score 287 Dec 6, 2015 Thread starter #5 Arsenalised one said: Ni kweli maana kuna mtu yupo mzumbe ametoka diploma na amepata mkopo Click to expand... Thanks sana
Arsenalised one said: Ni kweli maana kuna mtu yupo mzumbe ametoka diploma na amepata mkopo Click to expand... Thanks sana
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,047 Dec 6, 2015 #6 Itakuwa vizuri na hiyo bodi ya mikopo kimsingi watakuwa hawana kazi za kufanya. Kawe ka unit wizara ya elimu.
Itakuwa vizuri na hiyo bodi ya mikopo kimsingi watakuwa hawana kazi za kufanya. Kawe ka unit wizara ya elimu.