Wanafunzi wote vyuo vikuu kupewa mkopo?

Wanafunzi wote vyuo vikuu kupewa mkopo?

MSIMISEKI SENIOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
459
Reaction score
287
Natanguliza samahani.

Habari hii nimeisikia kupitia Radio One saa mbili usiku bahati mbaya nimekuta ndio inamalizika.

Nimesikia kama serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu. Mwenye taarifa sahihi plz atujuze.
 
Ni kweli maana kuna mtu yupo mzumbe ametoka diploma na amepata mkopo
 
Ni kweli! Wewe jiandae kupiga kitabu.

Asante itakuwa vyema sana.
Mimi nilishamaliza may be wakianza kutoa kwa Masters. Sema tu wadogo zetu waliokuwa wamekosa ilikuwa headache sana kwetu walezi na wazazi
 
Itakuwa vizuri na hiyo bodi ya mikopo kimsingi watakuwa hawana kazi za kufanya. Kawe ka unit wizara ya elimu.
 
Back
Top Bottom