Wanafunzi Wavamia Tume ya Vyuo Vikuu - TCU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi Wavamia Tume ya Vyuo Vikuu - TCU

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SuperNgekewa, Sep 29, 2010.

 1. S

  SuperNgekewa Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WANAFUNZI WAVAMIA TUME YA VYUO VIKUU


  [​IMG]
  Baadhi wa wanafunzi wakiwa nje ya jengo hilo.

  KUNDI la wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kujiunga na vyuo mbalimbali vya serikali na kupata alama za juu leo wamefurika nje ya Jengo la Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) lililopo Mikocheni jijini Dar es Salaam wakipinga uamuzi wa wenzao waliopata alama ndogo kupatiwa nafasi za kujiunga na vyuo vya serikali na wao kukosa nafasi na kudai uamuzi huo ni wa kuwaonea.  [​IMG]
  Askari wa jengo hilo akiinyoosha mkono kuwataka wanafunzi hao kukaa mbali na eneo hilo, amri waliyokataa kuitii.​  [​IMG]


  Muuza "lamba-lamba" (ice cream) akiwa kwenye mkusanyiko huo kukata kiu ya ‘madenti' hao.​
  PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY
   
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi hii watu wanapata shida zingine kwa sababu watu wachache hawataki kufanya kazi zao inavyotakiwa. Its so sad kuona mtu kahangaika toka chini huko gizani anafika huku ndo wanamchanganya kwa kitu kidogo ambacho ni kumwelewesha mambo yanakuwa safi.
   
 3. M

  Mubii Senior Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jana na leo nimekuta vijana wengi hapo Tume ya Vyuo Vikuu. Hivi wanafanya nini hapo. Niliona kama vile wanafuatilia kitu. Sidhani kama ni mgomo tu ndio umewaleta hapo. Naomba ni fahamishwe zaidi.
   
Loading...