Wanafunzi Watoro!

Wanafunzi Watoro!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Wanafunzi 5 walitoroka na kwenda disko ucku,waliporud asubuhi wakawa wamechelewa kufanya Test. Ikabidi wamdanganye mwalim walilala msiban wakapewa wiki ya kujiandaa ili wafanye Special Test,cku ya test wakawekwa kila 1 kwenye darasa lake na maswal yalikua matatu tu.
1.Aliyekufa ni nan?
2.Msiba ulikuwa wap?
3.Wamezka wap?
Kumbuka majibu yanatakiwa yafanane la sivyo Shule hakuna. Je,unajua nini kilitokea? Usikose part 2 itatoka wiki ijayo.
 
Uwezo wako ndio umeishia hapo?
 
Umetisha, yaelekea we ni mmoja kati ya hao wanafunzi 5
 
Attachments

  • 1443705021167.jpg
    1443705021167.jpg
    7.5 KB · Views: 210

Similar Discussions

Back
Top Bottom