Wanafunzi wamefunga barabara

Wanafunzi wamefunga barabara

10000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
837
Reaction score
781
wanafunzi wa kondoa girls wamefunga barabara kwasababu ya shida ya maji kondoa mjini, wamejaa darajani hakuna mawasiliano, kuingia na kutoka mjini.

NB: simu yangu nimeshindwa kuambatanisha picha
 
Ndiyo shida ya kuwa na one entry and exit point
 
Kwa serekali hii watafunga sana mwaka huu...
 
Asanteni sana Mabinti, hapo bado hamjaenda JKT, safi nadhani JKT ingeanza kwanza ili serikali ikileta ujinga kama huu iwe rahisi kuwadhibiti. Now it should read BRING BACK OUR WATER
 
Hizi akili au matope! watumia barabara wanahusika vp na wao kukosa maji?
 
wanafunzi wa kondoa girls wamefunga barabara kwasababu ya shida ya maji kondoa mjini, wamejaa darajani hakuna mawasiliano, kuingia na kutoka mjini.

NB: simu yangu nimeshindwa kuambatanisha picha

Mnavunja sheria za JMT
 
Hizi akili au matope! watumia barabara wanahusika vp na wao kukosa maji?

Hii itasaidia kufikisha ujumbe kwa wahusika. Hapa wanachofanya ni kutafuta atensheni ili jamii iwasikilize, na waandishi wa habari a kipata kitu cha kuandika, ujumbe utawafikia walengwa.
 
Back
Top Bottom