Wanafunzi wamalizao kidato cha sita JESHINI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wamalizao kidato cha sita JESHINI

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by hyle azniw, Jan 28, 2013.

 1. hyle azniw

  hyle azniw JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2013
  Joined: Jan 27, 2013
  Messages: 200
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nilisikia habar hii naskia kwamba wanafunzi wanapo maliza kidato cha sita wanatakiwa kujiunga jeshini kabla ya kuendelea na masomo ya chuo kikuu .Si dhani nilazima kwa jambo hili kufanyika japokua sijui sababu kubwa ya serkali kuamua jambo hili .Naweza kusema ni njia mojawapo inayoweza kufanya vijana wa taifa hili kuwa ni wachapakazi nakuwaweka katika hali ambayo itawafanya wao kujituma zaidi katika shughuli zao walakini ingewezeka badala ya vijana hao kujiunga na jeshi serikali ingeweza kuwatumia vijana hao baada ya kumaliza masomo yao kuweza kusaidia sekta hii ya elimu inayoonekana kuyumba kwa kuwa kuna uhaba mkubwa wa walimu wanafunzi hao wakaweza kutumika kufundisha wenzao baada ya kumaliza masomo yao ambao wako katika ngazi ya chini .jambo hili lingeweza kuwezekana kama vijana hao watakua wamefunzwa kisawasa hayo ndo maoni yangu...........:attention:
   
Loading...