Tetesi: Wanafunzi waliotimuliwa UDOM kuungana na BAVICHA tarehe 23 Julai


A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,732
Likes
2,290
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,732 2,290 280
NA SISI SPECIAL DIPLOMA TUNAELEKEA DODOMA 23.

Tunapenda kuwashukuru wazazi na wabunge wote ambao waliotusapoti katika kipindi kigumu cha kuondolewa katika masomo yetu.
Vile vile tunapenda kuchukua mda huu kulaani kitendo cha Serikali kutuondoa chuoni kama mbwa kwa kupewa masaa 24 bila nauli au hela ya kula.

Kiukweli tulifanyiwa ukatili wa hali ya juu ambao ulikuwa ni kinyume cha utawala bora na haki za binadamu.
Dada zetu wamejiuza siku hiyo ili wapate chakula wameondoka na magojwa yasiyotibika kwa sababu ya uzalendo wetu wa kuacha kuendelea na kidato cha 5 na 6 ili tulisaidie taifa letu upungufu wa waalimu wa masomo ya sayansi.

Wazazi wetu wabakia mafukala kwa sababue ya kuuza mashamba yao, ng`ombe zao pamoja kuuza vyakula ghalani kwa sababu ya matarajio yao kuwa sisi tuenda kwenye mfumo ya ajira tutawatunza ila sasa wapata tamaa kabisa.

Sisi tumepoteza mda bure sasa hivi tupo tu mtaan hatujui tunaenda wapi tumeitwa vilaza lakini sisi sio vilaza kabisa hata tukileta vyeti vyetu sisi vipanga kuliko hata JESCA ambae tumemuacha Udom anasoma sema tu sisi wazazi wetu ni wanyonge maskini.

23 July na sisi tutakuwa dodoma kuungana na watanzania wote pamoja na wazazi wetu kifanya mambo yafuatayo;

*Moja..........kutoa kilio chetu na maumivu yetu kwa Rais wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa CCM taifa juu ya tulivyonyanyasika na kudhalilishwa katika zoezi la Operation timua watoto wa maskini kwa jina lingine tumeitwa vilaza.
Tunakuja kumuambia umaskini wa wazazi wetu ndio umetufanya tuitwe vilaza na kipindi cha kuomba kura rais aliomba kura mpaka kwa vilaza hakuomba kwa vipanga tu.

*Pili........Kupeleka kilio chetu kwa mawaziri wa CCM wa awamu ya nne na kuwauliza ni kwa nini hawakumshauri rais kikwete kuachana na programme hii maana jukumu la rais ni kumshauri rais kwa maana hiyo hata rais wa awamu ya sasa nae alishindwa alikuwa waziri wa ujenzi.

*Tatu........kupeleka kilio chetu kwa wabunge wa CCM ambao walikuwa wengi bungeni kuruhusu programu hii ya special diploma kuengelea na sasa kutugeuka na kutuacha tukifukuzwa kama mbwa na kulala stendi mpaka wabunge wa ukawa kuja kututetea na kututafutia sehemu pa kulala na chakula.

Kuomba hela yetu makazi tuliolipia 182500 na hela ya TCU 20000 na 5000 ya serikali ya wanafunzi walioshindwa kututetea tumesikia tu udomasana daruso ya UDSM lakini nyinyi mkaa kimya yetuyetua tuwatuwapeiwalitutetea nyinsa
*Mwisho* kukabidhi kadi zetu za CCM na za ndugu zetu kama vile mama, baba mjomba shangazi kaka dada na nyinyink kwa mwenyekiti mpya atakae chaguliwa ili kuonyesha maumivu yetu na ndugu zetu kwa unyanyasaji huo tuliofanyiwa.

Vile kuiomba serikali kuturudisha udom ili tumalizie masomo yetu ili tusiwe tumepoteza mda bure maana tumefukuzwa sisi ni kwa sababu ya walimu wetu kudai mshahara yao sio kweli sisi tulikuwa vilaza.
Special diploma wote 7000 tunaomba tukutane dodoma tarehe 22 ili tujue hatma yetu tarehe 23 July Kwenye mkutano mkuu wa CCM asubuhi na mapema.

UMOJA NI NGUVU

By uongozi
 
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
12,368
Likes
4,002
Points
280
Age
58
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
12,368 4,002 280
NA SISI SPECIAL DIPLOMA TUNAELEKEA DODOMA 23.

Tunapenda kuwashukuru wazazi na wabunge wote ambao waliotusapoti katika kipindi kigumu cha kuondolewa katika masomo yetu.

Vile vile tunapenda kuchukua mda huu kulaani kitendo cha Serikali kutuondoa chuoni kama mbwa kwa kupewa masaa 24 bila nauli au hela ya kula.

Kiukweli tulifanyiwa ukatili wa hali ya juu ambao ulikuwa ni kinyume cha utawala bora na haki za binadamu.

Dada zetu wamejiuza siku hiyo ili wapate chakula wameondoka na magojwa yasiyotibika kwa sababu ya uzalendo wetu wa kuacha kuendelea na kidato cha 5 na 6 ili tulisaidie taifa letu upungufu wa waalimu wa masomo ya sayansi.

Wazazi wetu wabakia mafukala kwa sababue ya kuuza mashamba yao, ng`ombe zao pamoja kuuza vyakula ghalani kwa sababu ya matarajio yao kuwa sisi tuenda kwenye mfumo ya ajira tutawatunza ila sasa wapata tamaa kabisa.

Sisi tumepoteza mda bure sasa hivi tupo tu mtaan hatujui tunaenda wapi tumeitwa ****** lakini sisi sio ****** kabisa hata tukileta vyeti vyetu sisi vipanga kuliko hata ***** ambae tumemuacha Udom anasoma sema tu sisi wazazi wetu ni wanyonge maskini.

23 July na sisi tutakuwa dodoma kuungana na watanzania wote pamoja na wazazi wetu kifanya mambo yafuatayo;

*Moja*kutoa kilio chetu na maumivu yetu kwa Rais wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa ccm taifa juu tulivyonyanyasika na kudhalilisha katika zoezi la Operation tumua watoto wa maskini kwa jina lingine tumeitwa ******.

Tunakuja kumuambia umaskini wa wazazi wetu ndio umetufanya tuitwe ****** na kipindi cha kuomba kura rais aliomba kura mpaka kwa ****** hakuomba kwa vipanga tu.

*Pili*Kupeleka kilio chetu kwa mawaziri wa ccm wa awamu ya nne na kuwauliza ni kwa nini hawakumshauri rais kikwete kuachana na programme hii maana jukumu la rais ni kumshauri rais kwa maana hiyo hata rais wa awamu ya sasa nae alishindwa alikuwa waziri wa ujenzi.

*Tatu*kupeleka kilio chetu kwa wabunge wa ccm ambao walikuwa wengi bungeni kuruhusu programu hii ya special diploma kuengelea na sasa kutugeuka na kutuacha tukifukuzwa kama mbwa na kulala stendi mpaka wabunge wa ukawa kuja kututetea na kututafutia sehemu pa kulala na chakula.

Kuomba hela yetu makazi tuliolipia 182500 na hela ya TCU 20000 na 5000 ya serikali ya wanafunzi walioshindwa kututetea tumesikia tu udomasana daruso ya udsm lakini nyinyi mkaa kimya yetuyetua tuwatuwapeiwalitutetea nyinsa
*Mwisho* kukabidhi kadi zetu za ccm na za ndugu zetu kama vile mama, baba mjomba shangazi kaka dada na nyinyink kwa mwenyekiti mpya atakae chaguliwa ili kuonyesha maumivu yetu na ndugu zetu kwa unyanyasaji huo tuliofanyiwa.

Vile kuiomba serikali kuturudisha udom ili tumalizie masomo yetu ili tusiwe tumepoteza mda bure maana tumefukuzwa sisi ni kwa sababu ya walimu wetu kudai mshahara yao sio kweli sisi tulikuwa ******.

Special diploma wote 7000 tunaomba tukutane dodoma tarehe 22 ili tujue hatma yetu tarehe 23 July Kwenye mkutano mkuu wa ccm asubuhi na mapema.

UMOJA NI NGUVU

By uongozi
Sidhani kama itawasaidia kupata haki yenu. Jaribu kutumia mahakama! I am convinced that this is the best option to justice
 
C

conservative3

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Messages
690
Likes
327
Points
80
C

conservative3

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2013
690 327 80
mmmh.poleni kwa maswaibu yaliyowakuta,ila siamini km njia mtakayotumia au mlopanga kuitumia itawasaidia!!!kukabidhi kadi,kuomba kumalizia chuo,kuomba pesa yenu mlolipa,na malalamiko mengine mengi !!!
 
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,247
Likes
1,082
Points
280
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,247 1,082 280
Hao waliojiuza ili kupata hela ya kula na nauli kwani zile fedha za boom walizopewa walifanyia nini mpaka wakawa hawana hela kabisa kufikia hatua ya kujiuza?au walikuwa ndo mambo yao ya kujiuza siku zote?

Hata hivyo naiomba serikali iwatupie Jicho la huruma hawa watoto ili wale wenye sifa watafutiwe namna ya kuendelea na masomo yao!!
 
Mwendabure

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,139
Likes
534
Points
280
Mwendabure

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,139 534 280
Binafsi siamini kama itatokea hili kusanyiko. Siamini!
 
Ndalama

Ndalama

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Messages
8,435
Likes
5,374
Points
280
Ndalama

Ndalama

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2011
8,435 5,374 280
Loouuuuuw! Vijana wetu wanatoka kwenya kikaangio wanaangukia motoni. Wakishaingia mikononi mwa UKAWA kwa kuchukua hata shilingi moja ya ruzuku wajue wamenasa. Hawataja kufurukuta tena.
Kikaangio kilikuwa motoni?
 
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
12,368
Likes
4,002
Points
280
Age
58
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
12,368 4,002 280
Hao waliojiuza ili kupata hela ya kula na nauli kwani zile fedha za boom walizopewa walifanyia nini mpaka wakawa hawana hela kabisa kufikia hatua ya kujiuza?au walikuwa ndo mambo yao ya kujiuza siku zote?

Hata hivyo naiomba serikali iwatupie Jicho la huruma hawa watoto ili wale wenye sifa watafutiwe namna ya kuendelea na masomo yao!!
Nonsense, huruma gani we want justice , not sympathy
 
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
3,790
Likes
1,340
Points
280
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
3,790 1,340 280
Mlisema mmekwama na mmeamua kuuza nyapu sasa mnataka kuwapelekea na wanaCCM, watakuwa na perdiem watanunua tu nyie nendeni.
Hao wenzenu wajanja watawaweka chambo wameshasoma mchezo wanatafuta shinguard. Achaneni na hizo vitu
 
M

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Messages
3,120
Likes
2,314
Points
280
M

mpk

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2012
3,120 2,314 280
Ngoja tufikirie kundi jingine lituunge mkono
 

Forum statistics

Threads 1,236,516
Members 475,174
Posts 29,260,425