Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi awamu ya pili mwaka mwaka 2017 pamoja na fomu za kujiunga na shule (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz
Maswali:-
1. mbona nikiangalia hiyo link ya TAMSEMI nakuta kuna majina ya waliochaguli wa kidato cha tano awamu ya pili na waliochaguliwa vyuo vya ufundi sioni?
2. Hivi kwaweza kuwepo na third selection?kwan kuna majina ya wadogo/watoto wetu yaliyokuwepo kua watachaguliwa chaguo la pili lakini sasa majina yao hayapo
Sent using Jamii Forums mobile app