BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,782
Zamani kwenda sekondari ilikua adimu mana school zilikua chache na ni kua wanafunzi walikua na uwezo kiakili,sasa technologia Imekua sana, Computer zipo,Je unazani kinachosabisha wanafunzi wa sasa wawe Bangua bongo nini,shuleni hawasikiii,Wanapenda Lov£