wanafunzi wa vyuo vikuu wapugwa stop kugombea 2015

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
1,488
Reaction score
2,760
habar wakuu,nipo hapa chuon mkuu wa chuo amepiga marufuku kwa mwanafunz kugombea nafas yyte kweny uchaguz mkuu wa mwaka huu LA sivyo aahairishe masomo yake! je hii ni mbinu inayotumiw na ccm ili kuidhofisha upinzan?
 
hii nchi inaendeshwa kwa mtu kutegemea kaamkaje eti?
 
Reactions: M2.
habar wakuu,nipo hapa chuon mkuu wa chuo amepiga marufuku kwa mwanafunz kugombea nafas yyte kweny uchaguz mkuu wa mwaka huu LA sivyo aahairishe masomo yake! je hii ni mbinu inayotumiw na ccm ili kuidhofisha upinzan?

Kugombea ni muhimu zaidi ni swala la kulikomboa Taifa, masomo tutaahirisha tu vyuo havihami, au tutamalizia kupitia open university.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…