WANAFUNZI WA DIPLOMA UALIMU.

Masomo yote yanayofundishwa shule za msingi.....yaani maarifa ya jamii,stadi za kazi,english,hisabati,sayansi n.k
Pamoja na masomo ya ualimu,vielelezo na teknolojia,saikolojia n.k


Asante Dully.....asante!
 
Broo kaka unao
Broo kaka unao waraka official wa wizara unaoonyesha kuwa watamaliza mwez wa kumi wote au umetumia tuu common sense kuguees tarehe ya kumaliza??
 
Waraka Rasmi kuhusu tarehe za kumaliza bado hujatoka. Tarehe zote n tetesi tuu. Wapo wanaosema na Mwezi wa nane mwsho wemgine wanasema mid october..
 
Hapana buana,ualimu now upo chini ya nacte(wanaosoma diploma) but grade A wapo chini ya necta
 
Masomo yote yanayofundishwa shule za msingi.....yaani maarifa ya jamii,stadi za kazi,english,hisabati,sayansi n.k
Pamoja na masomo ya ualimu,vielelezo na teknolojia,saikolojia n.k
Kwa maana hiyo,wanafunzi ambao wamefanya hiyo diploma ya elimu ya msingi,zitatambuliwa na serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…