Wanamaliza mwezi wa kumi woteHabari wakuu,hivi wanafunzi wanaosomea diploma ya ualimu wa shule za msingi wanamaliza lini,maana nna mdogo wangu anasoma chuo cha ualimu kleruu anadai nacte wamewatangazia kumaliza mwezi wa nane wakati kuna mwingine kanambia wa kumi,inakaaje hii wajuzi?
Una uhakika gan mkuuyupo sahihi ,kuna wale wa special education waliotimuliwa udom watachelewa kdogo maana walipiga pepa ya form 6 mwezi wa pili,hawa wa kawaida wanamaliza mwezi wa nane wapishe wenzao wanaoingia wa mwezi wa 9 mwishoni.
75% ya vyuo hivi kwa sasa ndio kwanza wamefanya test 1....na huchukua wiki 5 nzima ili kuingia ktk test inayofuata hivyohivyo mpaka SE.....Hivyo hakuna uwezekano wa kumaliza mwezi wa 8 kwa ODECE na ODPE ukipiga hesabu zako vizuri utaona kuwa august ndio watapiga test 2 na septemba au oktoba mwanzoni kabla ya tar 15 watafanya SE.....Kwanini,kanambia mtihani wanafanya mwezi wa nanee
75% ya vyuo hivi kwa sasa ndio kwanza wamefanya test 1....na huchukua wiki 5 nzima ili kuingia ktk test inayofuata hivyohivyo mpaka SE.....Hivyo hakuna uwezekano wa kumaliza mwezi wa 8 kwa ODECE na ODPE ukipiga hesabu zako vizuri utaona kuwa august ndio watapiga test 2 na septemba au oktoba mwanzoni kabla ya tar 15 watafanya SE.....
Kuhusu masomo ya astashahada ya ualimu inategemea ni ualimu upi maana upo wa aina mbili kama uonavyo haño juuNaomba elimu yako tafadhali, ni kitu gani hii ODECE, ODPE na SE, halafu kozi ya ualimu Astashahada huwa wanasoma masomo gani darasani?
Boss,mitihani ya vyuo vya ualimu vya kati hutungwa huko nacte..na mitihani hii haifanyiki kwa kipindi kimoja,hufanyika kikanda,ufafanuzi kidogo hapo.75% ya vyuo hivi kwa sasa ndio kwanza wamefanya test 1....na huchukua wiki 5 nzima ili kuingia ktk test inayofuata hivyohivyo mpaka SE.....Hivyo hakuna uwezekano wa kumaliza mwezi wa 8 kwa ODECE na ODPE ukipiga hesabu zako vizuri utaona kuwa august ndio watapiga test 2 na septemba au oktoba mwanzoni kabla ya tar 15 watafanya SE.....
Diploma imefutwa kwa namna hii:ni lazma mwanachuo asome ngazi ya cheti afanye kazi walau miaka mitatu ndipo ajiendeleze,2015 walianzisha mfumo wa diploma directly pasipo kupitia grade A(certificate) ambapo imetenguliwa mwaka 2016.hivyo ni lazma anayetaka kusoma ualimu kuanza na grade A.Asante Dully lakini....Astashahada nafikiri ni Certificate? tuseme Sumbawanga Teachers College wanachukua wanafunzi wa astashahada kwa kiwango cha NACTE na haohao wanasema Diploma ya ualimu imefutwa je pakoje hapo?
Mfumo wa mafunzo ya ualimu kwa sasa umerudishwa kama zamani hivyo unasimamiwa na Necta na kutahiniwa na NECTA pia ila hizi kozi nyingine ambazo sio za ualimu ndio zinacmamiwa na NACTE....Asante Dully lakini....Astashahada nafikiri ni Certificate? tuseme Sumbawanga Teachers College wanachukua wanafunzi wa astashahada kwa kiwango cha NACTE na haohao wanasema Diploma ya ualimu imefutwa je pakoje hapo?
Huu mfumo ulianza mwaka 2014 oktoba lakini ukakomea mwaka 2017 oktoba pia baada ya kufanyiwa marekebisho na wizara ya elimu....hivyo kwa sasa jukumu la vyuo hivi limerudi NECTA na kwa sasa wanafanya mitihani ya NECTA kama ilivyokuwa hapo nyuma mkuuBoss,mitihani ya vyuo vya ualimu vya kati hutungwa huko nacte..na mitihani hii haifanyiki kwa kipindi kimoja,hufanyika kikanda,ufafanuzi kidogo hapo.
Ila kwa yule wa advance anaweza kuanza diploma ya sekondari kama ana sifaDiploma imefutwa kwa namna hii:ni lazma mwanachuo asome ngazi ya cheti afanye kazi walau miaka mitatu ndipo ajiendeleze,2015 walianzisha mfumo wa diploma directly pasipo kupitia grade A(certificate) ambapo imetenguliwa mwaka 2016.hivyo ni lazma anayetaka kusoma ualimu kuanza na grade A.
Upi mkuuDully bado naomba msaada wako
Masomo yote yanayofundishwa shule za msingi.....yaani maarifa ya jamii,stadi za kazi,english,hisabati,sayansi n.kAsante sana, je huko chuoni huwa wanasoma masomo gani hao walimu wa Grade "A"