Waende mjengoni kabisaaa, watu wanapiga zaidi ya 150000 per day hapo afu wao wanapiga miayo
tunamsubiri mh. waziri mkuu na yametolewa masaa kadhaa, baada ya hapo asipokuja tutaelekea mjengoni leo hii.
lazima kieleweke leo maana viongozi wanajisahau sana,so ni vyema tuwakumbushe majukumu yao.
Alikiwa akigoma UDSM basi hata Dar yatikisika.
Huko wana Bunge ila waoga sana
mkuu kwani wewe ulitakaje maana mi najua walio toam tamko lile ni wale viongozi wachache wanaotumiwa na ccm .hata wawale walio endaa kwa mamuvii juzi kati kuna wazungumuziaje mkuuhawa si ndo waliotoa waraka wa kuwatetea watuhumiwa wa ESIKURO???
mwendo mdundo mpaka kieleweke mkuu hatoki mtu hapa ccm wametuzoea dawaya nchii hii ni migimo t5u isiyo na mwishoSolidarity is your weapon....Go and yo money
ulikuwepo au ulisimuliwa..hat hvyo wakienda watano usijumulishe kuw chuo chote kilihusika.
ulikuwepo au ulisimuliwa..hat hvyo wakienda watano usijumulishe kuw chuo chote kilihusika.
haya sasa sosho tumesain lakini bado hata dalili ya pesa hamnaa
Mkuu unauhakika au unaongea tuWw sio mwanachuo.....huna uhakika kaa kimya. Pesa wamepewa juzi ww unasema leo kwamba hamna dalili ya pesa?? Kuwa na aibu
si walimfata lowasa waende na leo kugomea pesa za kula unawaona.Ila mgomo wa kijamii huwaoni
View attachment 253336
UDOM (COed) hali ni tete tangu jana maana wanafunzi wamegoma kuingia madarasani wakidai pesa za kujikimu, tatizo la Bima za afya(100,000 kila mwaka) pamoja na ufisadi wa pesa za UDOSO uliofanywa na viongozi wa wanafunzi.