Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Habari wakuu...
wanafunzi wa chuo cha ualimu nachingwea grade "A"wamegoma wakidai kurudishiwa pesa yao ambayo haieleweki imetumika vipi.
Hii ni baada ya serikali kubadilisha mfumo wa nacte kuja necta, wamedai fedha hio ilipwe mojakwamoja baraza la mitihani kama mfumo umebadilika.