Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,545
- 49,420
Mathematics O level nimefundishwa na Mzungu, ni mmarekani. Anasema kule darasa zima wanapata One na ikitokea mtoto ka loose basi ana two.Hata biblia imetuasa mara moja Moja kiboko ni lazima, mtoto anasoma saikolojia haraka sana tena vya sa ivi ni vijanja kweli akishabaini kua hawezi kuchapawa pindi akifanya makosa ataanza Tabia nyingi za ajabu
Mtoto anachoogopa ni fimbo, japo siungi mkono uchapaji usiozingatia sheria, umri na Hali za watoto, ila mara moja Moja sio mbaya
Enzi zetu aisee bakora zilikua zinatembea sio poa
Tangu Mwaka 47 unakumbuka hadi leo Mkuu 😅Kwenye shavu nina alama nilifinywa na mwalimu Mlekwa nikiwa darasa la kwanza mpaka leo ipo.
Mimi nilichubuka magotini kisa kutembezwa juani kwa magoti na mwalimu Mkarunduma.Kwenye shavu nina alama nilifinywa na mwalimu Mlekwa nikiwa darasa la kwanza mpaka leo ipo.
Acha tu! Alinifinyaa hadi ngozi nyeupe ikatokaTangu Mwaka 47 unakumbuka hadi leo Mkuu 😅
Embu tuoneshe picha kidogo😂😁Kwenye shavu nina alama nilifinywa na mwalimu Mlekwa nikiwa darasa la kwanza mpaka leo ipo.
Polee sanaAcha tu! Alinificha hadi ngozi nyeupe ikatoka
Kisa nimekosea kuhesabu vijiti😔
Asante mkuuPolee sana
Pole sana MkuuAcha tu! Alinificha hadi ngozi nyeupe ikatoka
Kisa nimekosea kuhesabu vijiti😔
Dahhh! Mkuu usinikumbushe machungu mambo ya kua daktari nilitamani lakini kichwa cha science nilikua sina😂Pole sana Mkuu
Najua alifanya hivyo Kwa lengo la kukusaidia ufanye vizuri Masomo yako
Ndiyo maana leo hii Wazee tunajivunia kukupata wewe kama Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto 😜🤗
Hahaha.......pole sana MkuuDahhh! Mkuu usinikumbushe machungu mambo ya kua daktari nilitamani lakini kichwa cha science nilikua sina😂
Sikuwahi hata ipenda tokea nilivyoanza form 1 nilivutiwa na Commerce and Book keepingHahaha.......pole sana Mkuu
Sayansi ilikuwa haipandi?
Bado una nafasi ya kutuletea Daktari kutoka nyumbani kwenu na Mr Siku za usoni 🤗