Wanafunzi Feza watembelea Jengo la Wizara Mtumba

Wanafunzi Feza watembelea Jengo la Wizara Mtumba

Wizara ya Madini

Govt Institution
Joined
Apr 12, 2025
Posts
47
Reaction score
19
Jumla ya Wanafunzi wapatao 114 wa Shule ya Msingi FEZA ya jijini Dar Es Salam walioambatana na walimu wao 12, Mei 3, 2025 walitembelea Ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambapo walipata wasaa wa kutembelea mradi wa Jengo jipya lililo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.

Wanafunzi hao na walimu wao Mei 2, 2025 walikuwa miongoni mwa wageni wa Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde waliopata nafasi ya kusikiliza hotuba ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 iliyowasilishwa na Mhe.Anthony Mavunde bungeni Dodoma.

Wakiwa Wizarani, wanafunzi hao waliemishwa na kufahamishwa kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini nchini kutoka kwa wataalam wa Wizara.
IMG-20250504-WA0067.jpg
IMG-20250505-WA0040.jpg
IMG-20250505-WA0038.jpg
IMG-20250504-WA0070.jpg
 
Hawa ndo wale wa JUNIOR. Weeee junior. Njoo uoge !!!!!!!!!!!!!!!! Yesuuuuuuuuu. Na mariiiiiiiiaaaaaaa









Hahahhhhhhhhh sisi wa. .......wewe kuja hapa na sema kuja hapaaaa haya ogaa haraka......
.
.
.
.ngoja TU aangalie comment
 
Sasa wale wa wapiga kusifia mama na ccm wakina lucas na wengine wanapambana na dalala na madaraja mabovu kwenda shule
 
Wameenda kuangalia ofisi zao watakazokuja kufanya kazi, nyie wengine endeleeni kuangalia mazingaombwe
 
Oyaaaaaa. Wanetuuuuu........tutafuteni helaaaaaaaaaa......wanetuuuuuu
 
LIKUD watoto wake wako Bonyokwa wanadumbukia kwenye madaraja, na wakishadumbukia shule inafungwa wanafunzi wenzao wanaenda kuwatafuta bonde la mto Msimbazi (habari hii ipo humu JF).

Alafu akitoka hapo anakwambia shule private ni kupoteza hela bora kumnunulia mwanao kiwanja kule Kivule, Matembele ya Pili.
 
Be positive mkuu. Punguza chuki kwa watoto
Pole sanaaa aisee..mi nimeongea kiutani tu mbona wametulia Wana aibu
We umechukulia kivingine kujihisi nawatukana labda.sijawahi kuchukua mtoto hata mtu yoyote
Natafuta comment yangu so u can be happy.
 
Back
Top Bottom