Wanafunzi Elimu Ya Juu Watengewa Bilioni 483 Za Mikop

Ni kweli nimemsikia prof Ndalichako akilitolea ufafanuzi hilo bungeni leo hii.
Taarifa tulizokuwa tunapewa humu ulikuwa ni upotoshaji mkubwa sana kuwahi kutokea.
Hata kama ni siasa hii sasa imezidi.
Hakuna mwanafunzi atakae kosa mkopo kwa wenye sifa za kupewa mkopo. Wafuate tu maelekezo wakapewe mikopo.
Siasa za kijinga zitatuponza watanzania.
 
hakuna lolote huo ufafanuzi ulianza tokea UDSM kwenye maadhimisho ya chuo hicho ya miaka 55 mikopo i wap?? kama chuo chenye wanafunzi 2000-3000 wanatoa majina 150 tu what next??? tusijipe moyo hapana mkopo hapa hizo hela za maneno tu
 
Swali ulimsikia waziri leo???
 
Baada ya wadau kulipigia kelele hili wameamua kuongeza pesa za mikopo,watu wangekaa kimya ingekula kwao.asanteni wana siasa kwa kuipressurize serikali katika hili
 
sijamsikiza mkuu kwani kasemaje??
basi usiwe unaponda hovyo ndugu yangu.
kwa kifupi waziri kasema walio kosa mikopo kwenye awamu ya kwanza wapeleke taarifa zao upya watapatiwa mikopo kwa wenye sifa stahiki.
 
Dah Ila mambo ni yaleyale tu***Kukata Rufaa deadline ni after 3 months hapa kati inakuaje na vyuo ndo vile
Bila pesa
 
Ni kweli nimemsikia prof Ndalichako akilitolea ufafanuzi hilo bungeni leo hii.
Taarifa tulizokuwa tunapewa humu ulikuwa ni upotoshaji mkubwa sana kuwahi kutokea.
Hata kama ni siasa hii sasa imezidi.
Hakuna mwanafunzi atakae kosa mkopo kwa wenye sifa za kupewa mkopo. Wafuate tu maelekezo wakapewe mikopo.
Siasa za kijinga zitatuponza watanzania.
Vipi kuhusu wale ambao wamekosa mikopo na kuondoka vyuoni huku wenzao wakiendelea na masomo? kwani ni wazi wengi wao ndio hao inayoonyesha wametengewa hizo fedha lakini wamekosa. Ni vema ukasifia baada ya kuona wanafunzi hao wamepatiwa hiyo mikopo lakini kwa hicho ulichokiandika sidhani kama una uhakika nacho zaidi ya kujikita katika kusifia huo upande unaoushabikia hata pale unapoona wazi wameboronga.
 
Ukisoma hiyo nyekundu inapendeza tatizo ni hapo "kwa wenye sifa" kwani mwaka huu sifa ni tofauti na mwaka jana, na vigezo vilitolewa baada ya wanafunzi kuomba (yaani gia ilibadilishwa angani!!!! Tatizo nilionalo ni uamuzi kufanywa na watu wachache sanana vyombo husika kutekeleza amri tu.
 
Dah Ila mambo ni yaleyale tu***Kukata Rufaa deadline ni after 3 months hapa kati inakuaje na vyuo ndo vile
Bila pesa
Kama huna uwezo wa kuendelea kuwa mwanafunzi wakati huo wa miezi mitatu maana yake shule imekoma. Na Tanzania kwa mwaka udahili unafanywa mara moja tu na huwezi kupewa mkopo ili usome mwaka ujao. Watakao appeal lazima wawe na other means of survival na kulipa ada ili wapate registration. Naona maumivu tu.
 
Baada ya wadau kulipigia kelele hili wameamua kuongeza pesa za mikopo,watu wangekaa kimya ingekula kwao.asanteni wana siasa kwa kuipressurize serikali katika hili

uache ujinga..hizo pesa ziko kwenye budget ila mh rais anataka vigezo tu..nakuhakikisha hakuan forgery..Sasa unataka atoe pesa bila uhakiki
 
Vipi kuhusu wale ambao wamekosa mikopo na kuondoka vyuoni huku wenzao wakiendelea na masomo? kwani ni wazi wengi wao ndio hao inayoonyesha wametengewa hizo fedha lakini wamekosa. Ni vema ukasifia baada ya kuona wanafunzi hao wamepatiwa hiyo mikopo lakini kwa hicho ulichokiandika sidhani kama una uhakika nacho zaidi ya kujikita katika kusifia huo upande unaoushabikia hata pale unapoona wazi wameboronga.
Kwanza naomba uelewe kuwa si kila mtu ni mshabiki hapa. Ila panapo ukweli tunasema kama ulivo, Waziri ameeleza kulikuwa na udanganyifu mkubwa ulio fanyika awali ndio ipelekea hali hiyo.
Taarifa zilizokuwa zikitolewa humu hazikuwa sahihi.
Tusiweke siasa kwenye mambo ya msingi ndugu.
 
Ukisoma hiyo nyekundu inapendeza tatizo ni hapo "kwa wenye sifa" kwani mwaka huu sifa ni tofauti na mwaka jana, na vigezo vilitolewa baada ya wanafunzi kuomba (yaani gia ilibadilishwa angani!!!! Tatizo nilionalo ni uamuzi kufanywa na watu wachache sanana vyombo husika kutekeleza amri tu.
Kama ulimsikia vizuri sifa ni zilezile ila kuna baadhi walifanya udanganyifu na wengine hawakutoa taarifa za kujitosheleza hata kama walikuwa na sifa za kupewa mikopo.
kuna taarifa zilisambaa kuwa hata wale wanafunzi waliopewa mikopo mwaka ulipita nao wafutiwa. Si kweli wanafunzi hao walishawishiwa kugoma kusaini form za mikopo na kupewa pesa zao. mfano ni UDSM, pesa zilipelekwa hapo tangu tarehe 15/10 lakini wamesain wachache wengine walikataa kutokana na ushawishi.
Waziri amewataka wakakamilishe taratibu ili wapewe pesa zao kwasababu zipo hapo tayari.
 
Kama huna uwezo wa kuendelea kuwa mwanafunzi wakati huo wa miezi mitatu maana yake shule imekoma. Na Tanzania kwa mwaka udahili unafanywa mara moja tu na huwezi kupewa mkopo ili usome mwaka ujao. Watakao appeal lazima wawe na other means of survival na kulipa ada ili wapate registration. Naona maumivu tu.
serikali isinge toa pesa onyo bila uhakiki hizo porojo nyingine acheni.
fuateni maelekezo mkapewe mikopo.
 
Af wewe unatetea usichokijua kuna watu form zao kila kitu waliattach na wanasoma courses za vipaumbele wamenyimwa mwenyewe nikiwemo kigezo eti umesoma private na wakat huo wengne wamepata na hawana sifa za kupata na wamesaini kuanza kupokea hela, sasa usianze siasa hapa wakati hujui kinachoendelea vyuoni
 
uache ujinga..hizo pesa ziko kwenye budget ila mh rais anataka vigezo tu..nakuhakikisha hakuan forgery..Sasa unataka atoe pesa bila uhakiki
Ndugu vip?niache ujinga upi wewe?huwezi kujibu bila kutukana?huyu jamaa vip huyu.
 
Mtoto wa maskini anaishije mpk Jan 31, na wengine wameambiwa walipe nusu ada, nakushangaa unashadadia mambo usiyoyajua
 
Af wewe unatetea usichokijua kuna watu form zao kila kitu waliattach na wanasoma courses za vipaumbele wamenyimwa mwenyewe nikiwemo kigezo eti umesoma private na wakat huo wengne wamepata na hawana sifa za kupata na wamesaini kuanza kupokea hela, sasa usianze siasa hapa wakati hujui kinachoendelea vyuoni
Huyo jamaa ana matatizo kichwani anatetea vitu asivovijua.
 
Back
Top Bottom