Wanafunzi bwana!

Real joh

Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
19
Reaction score
0
Tunatumia muda mwingi kufanya mambo yasiyohusiana kabisa na elimu,tukifeli tunashirikiana na wazazi kuishutumu serikali......!
 
mboni hapa sio mahali pake ungeipeleka kule elimu ingefaa kweli..
 
Bora umejijua, haya sign out uanze kusoma.
 
Tunatumia muda mwingi kufanya mambo yasiyohusiana kabisa na elimu,tukifeli tunashirikiana na wazazi kuishutumu serikali......!

sasa kwanin unafanya mambo yasohusiana na elimu? Bilashaka utakuwa hujitambui ila kwa mm huwa simix mambo kizembe...
 
sasa kwanin unafanya mambo yasohusiana na elimu? Bilashaka utakuwa hujitambui ila kwa mm huwa simix mambo kizembe...

bid up dogo langu!...haya sepa humu ndani...afu chukua huu uzi uende nao kuleeee!...bebeni fasta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…