Kwa ufupi
- Wanafunzi wanaosoma wakiwa chini ya miti ni wa darasa la tatu, nne, tano na sita.
- Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Rashidi Chalilo alimweleza mwandishi wetu aliyeitembelea jana kuwa wanafunzi hao ni kati ya 436 wa shule hiyo.
Source: Mwananchi
Nafikiri ile juhudi ya Madawati ielekezwe kwenye madarasa pia!!