Mnafiki ni JK ambaye hadi majina ya wauza unga anayo lakini ameshindwa kuwachukulia hatua.... Acheni wanaume wafanye vitu kwa vitendo, wafanye yao, sisi tuendelee kuimba "CCM yajenga nchi" na kukimbiza mwenge wa Uhuru....
Kweli kabisa, hao ni watu wa kazi na wala sio wanafiki. Mnafiki ni raisi wetu kwa kujipendekeza kwa wazungu. Tatizo ni kwamba watanzania tumeingia katika mkumbo bila kutafakari kwa kina huu mgogoro wa maneno. Raisi wetu inabidi ajitafakari upya.
Wamefanya kosa gani? Watu wamechoka ngonjera zetu wameamua kuendelea na biashara zao. Mbona Watanzania tunapenda kuwafuatafuata? Kwani mtu kama hataki bidhaa zako akanunua za jirani yako huo ni ushari?
Kama mnafikiri kesi hii na Rwanda itaamuliwa kama ilivyoamuliwa kesi ya 'NANI ACHINJE' basi mmelowa. Najua kwa akili zako fupi unadhani suluhu ya kiuchumi itafanana na ile ya 'kwa kuwa kina fulani ndio walikuwa wanachinja tangu zamani basi.......' basi na leo iwe: 'kwa kuwa Rwanda alikuwa anatumia bandari ya DSM tangu zamani basi waendelee regardless....longolongo za upakuzi, kodi na check points...' hovyooooo!
Mtakaa kunung'unika huku wenzetu waleeeee wanapiga hatua. Kama sisi tulimpenda kwa sura, wenzetu hawaangaliani usoni.
Si suala la kupendezwa ila tukubali blaablaa zimezidi bongo!angalia viongozi wanavyojikanya kwa suala la madawa ya kulevya.ni aibu nchi yenye watu 45m kuwa na viongozi wa quality hii.
Wote Wanafiki tu hao Nchi hii ndio imewasaidia kwa hali na mali kushika hatamu ya uongozi wa nchi zao leo wanajifanya kuisusia Bandari iliowalea Nyambaf kabisa