Wanafanya nini hawa?

Wa pili kushoto anau-feel mkojo ile mbaya!!!!
 
Tuwawezeshe ili waweze ! najitolea kutoa twishen ya hilo zoezi
 
hao ni wahalifu wa mazingira, wamevaa kama yaya (nurses), badala ya kuhifadhi mazingira wanaloanisha ukuta kwa ku-pee kume, halafu zile homoni zitokanazo na matumizi ya vidonge vya kuepuka mimba kwa akina dada/mama wengi siku hizi zinaingia kwenye mifumo yatu ya ki-ekolojia kiuraini, halafu baadae nasisi wanaume kwisha kazi.......
 

• P-Mate =

The P-Mate is a Portable Urinating Device that offers Women the freedom to pee standing up. It's clean, leak-proof and is made from recycled materials. In the emergency situations, you have to place the large opening of the P-Mate under the flow area between your legs. Pee like a man and then discard it.



 
yaani hao hawawezi kukojoa asilani maana watachafuka kwa kujikojolea na kunuka
Mtoto ni wa Kiswahili Bw mpaka aingie na maji na kujiswafi
hao wanaonyesha namna gani watu wanachafua Mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…