Wanaendelea kutufanyia Ukatili, Torrents Webs kama bitcq na kickass zimefungwa, zbigz haifunguki

Bado kuna torrents resilient kama

1. Kwa kutafuta kila aina ya mafile, iwe movies, vitabu, documentaries,...basi tembelea. thepiratebay.org (hii ndio former Pirate Bay), na

2. Kwa movies zenye ubora mzuri... yts.ag (movie zote za hi-quality-fly-weight aka YIFY kama zilivyokuwa zikitambulika zamani) utazipata hapa.

3. Kama una data bundle kubwa na huwezi subiria kudownload quality safi za movie (Coz nazo zinachelewaga kutoka) basi tembelea cyro.se utaweza stream movies kuanzia 360p-1080p qualities.

You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
PIRATEBAY NI KIBOKO YAO
 
Mkuu upo sahihi. Kwa nyongeza ukitaka movie za yts.ag ktk small size yaani mb chache nenda yts.sg zingatia tofauti ya .sg na .ag, kwa movie mpya sana bila kujali quality nenda usabit.com.
Ukitaka series nenda eztv.unblocked.ist
NB: YIFY movie za kiwango bora tu hakuna cam au ts.
 
Back
Top Bottom