Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,639
- 112,449
Ukiwa siyo mvivu wa kuvuliwa chupi, ubunge wa vitu maalum CCM unapewa tu wala hamna shida, muone Catherine Magige akupe semina.walaaaa,najipanga kuja kugombea ubunge lol,sitaki kukosea kama walionitangulia,hivyo ni muhimu kujua wapi tatizo...
Tuombe uzima,nitafute kwa ushauri baada ya 2015.mkuu kwa hiyo km wewe ni mwanadiaspora ni lazima uwe na watu wa kukuwezesha??natafuta majibu nione kama nitaweza huo mlima 2020 au la lol
Ni mwanachama wa chama gani?sivui chupi,ni mwanadiaspora na ubunge lazima niukwae....:spy:
Kama CCM,mkuu Matola ameishakupatia ushauri!CCM!!!
kidumu chama cha mapinduzi,lol
Sana tu, huo ulikuwa ni Usiku wa pale Dar Live kwenye Show ya Sugu kuchangia mfuko wa Elimu Mbeya, ndio unataka kuwafananisha hao wapiganaji waliokuwa wanaraise Fund kwa ajili ya Elimu na huyu Play Boy Le Mutus?ila hawa ndio wa kuaminiwa?????mnh
Matola bwana,nijibu basi nilichouliza....:redface::redface::redface::eek2:
Kama ulikuwa unamaanisha Segerea huku kwenye jimbo letu hatuna raia mwenye jina hilo, huyo anakaa kwa Baba yake Upanga Sea view, hapo ndipo utakapokuanza kupatwa na mshangao umri hule jitu kubwa kama yeye bado linakaa kwa Wazazi.
Kama uko karibu na Sauti ya umeme alias Le Mutuz@Baharia wa Segera mwambie anaharibu tena anaharibu sana.