Hivi kwanini wanachuo wengi wanawachukuliwa kama wadangaji au malaya? Hii sio sawa. Jamii inatakiwa ielimishwe sio kila mwanachuo ni malaya. Ni hali tu ya kuwa smart na mavazi tu nothing else.
Hata sisi tulikua wanachuo at some point. Tunajua yanayoendelea huko ni uasherati, ulevi, uvutaji bangi etc. Wewe kama hufanyi hayo piga kimya fata yako.
wengi wao ni malaya, nimewala sana wale wa UDBS , Hall 2 kule juu kunaitwa 'Tigo Rusha', mwendo wa huduma tu
ukienda micasa leo hii, totoz kali za UD zipo kibao
pocket yako tu
wengi wao ni malaya, nimewala sana wale wa UDBS , Hall 2 kule juu kunaitwa 'Tigo Rusha', mwendo wa huduma tu
ukienda micasa leo hii, totoz kali za UD zipo kibao
pocket yako tu
Hivi kwann wanachuo wengi wanawachukuliwa kama wadangaji au malaya? Hii sio sawa
Jamii inatakiwa ielimishwe sio kila mwanachuo ni malaya.
Ni hali tu ya kuwa smart na mavazi tu nothing else.
Sema nini inaboa sana!! Nakumbuka enziii nipo chuoni demu wangu alikua akiniita Malaya,aiseh hii ndo moja ya sababu tukaachana!!! Nilikua sipendezwi na jina hilo isitoshe nilikua nampenda sana na sikuwahi fikiria kumsaliti ila nilipoona jina lile haliachii nikafanya kweli
Nyinyi asilimia kubwa, hasa wa kike ni Malaya! Hakuna kuficha wala nin. Hivi unawezaje mdada kutoka nje ukazurura na kigauni cha kumvalia mwanaume wako ndani au cha kuvaa night club!? Wewe unakitinga mchana kweupe?
Hivi kwann wanachuo wengi wanawachukuliwa kama wadangaji au malaya? Hii sio sawa
Jamii inatakiwa ielimishwe sio kila mwanachuo ni malaya.
Ni hali tu ya kuwa smart na mavazi tu nothing else.