MWIBA WA KATANI
Member
- Feb 26, 2012
- 39
- 42
Katika ziara ya Naibu katibu mkuuwa CUF bara Mtatiro Julius ilimkutanisha na wanafunzi wa SAUT mwanza ambapo uongozi wa CUF tawi la SAUT ilifanikisha jumuiko hilio ambapo wanafunzi zaid ya kumi walichukuwa kadi za CUF nakukabidhiwa na Mtatiro.Mkutano huo na wanvyuo ulihudhriwa na wanchuo wa vyama mbalimbali.
Anafurahia 10 hajui juzi kule Mtwara zaidi ya wanaCUF 400 wamehamia NCCR.Wakati CUF anapata wanachama 10.Tundu Lissu alipokea wanachama wapya 169 waliojiunga na CDM
Anafurahia 10 hajui juzi kule Mtwara zaidi ya wanaCUF 400 wamehamia NCCR.
Kwani hao kumi unaosema mimi nimewaona wapi?Hao wanaCUF 400 umewaona wapi ama wa magazetini.Hizo niu propaganda za kutengenezwa kama unaamimi kitu usichokishuhudia,better to rethink othorwise nchi yetu itaendeshwa kwa propaganda za uongo mgumu na anaeumia ni mtanzania asiyeweza kupambanua mambo.
Go...KAFU...GoGo Mtatiro Go...CUF tunajali quality na siyo Quantity..
Mtaota sana CUF itakuwepo, na iko siku itakuwa chama tawala.
View attachment 48898
mmmoja ya mwanachuo akipokea kadi ya CUF kutoka kwa Mtatiro
Go Mtatiro Go...CUF tunajali quality na siyo Quantity..
Mtaota sana CUF itakuwepo, na iko siku itakuwa chama tawala.
Hao wanaCUF 400 umewaona wapi ama wa magazetini.Hizo niu propaganda za kutengenezwa kama unaamimi kitu usichokishuhudia,better to rethink othorwise nchi yetu itaendeshwa kwa propaganda za uongo mgumu na anaeumia ni mtanzania asiyeweza kupambanua mambo.
Jussa:Cuf imeshindwa Uzini kwa sababu ya Ukristo
Wakati CUF anapata wanachama 10.Tundu Lissu alipokea wanachama wapya 169 waliojiunga na CDM
Yani kutokujua Hesabu ni tabu sana. Mtatiro anachezea hii equation alafu anafurahi:
10 - 400 = (390)
CorrectionsYani kutokujua Hesabu ni tabu sana. Mtatiro anachezea hii equation alafu anafurahi:
10 - 400 = (390)
Lakuvunda halina ubani!!!!Go Mtatiro Go...CUF tunajali quality na siyo Quantity..
Mtaota sana CUF itakuwepo, na iko siku itakuwa chama tawala.
Lakuvunda halina ubani!!!!