Wakuu
Mimi naona kitu chakujivunia kuona mwaka tunakaribia kuumaliza!! lakini siyombaya kama sisi Member wa JF saccos! tukikutana mahali tukapeana heri ya kirismasi kwani najua wengi wetu tutasafiri kwenda mikoani hivyo ni vema tukaitisha ka get to gather pale kati nini na nini! basi to ka call a day! au mawazo?????????????
Karibuni!