WANACHAMA WA CCM NI WANAFIKI

Ulichukua hela hukuchukua..??
 
Hilo hata Mh. Mbunge Bwege kwa wakati aliwaambia Bungeni kwamba yaani wakiulizwa wananjaa watakujibu ndio, baada ya muda ukiwauliza mmeshiba watakuambia ndio wameshiba
 
Chukua Chako Mapema
Kura yako Chadema
Hata mimi huwa naenda kuchukua kodi yangu napita hiviiii... Zile pesa ni zetu
Kula Lumumba kulala mikocheni
 
Ni mambo ya aibu sn
 
Uzalendo haupo kwa wananchi wengi watanzania, sio CCM peke yake.
Wananchi waliowengi si wazalendo wa nchi yao. Maana wasingeharibu miundo mbinu kama umeme, maji, mwendo kasi, SGR, kulipa kodi na mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…