GE2025 Wanachama CCM Itamboleo Waomba Kamati Kuu Kurudisha Majina ya Wagombea Udiwani ili Wajumbe Waamue kwa Kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,231
Wanachama wa CCM Kata ya Itamboleo Wialaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya wameiomba kamati Kuu ya Chama hicho kuruhusu majina ya wagombea Udiwani wote waliochaguliwa na wajumbe yarudishwe ili kura za wajumbe zikatoe maamuzi na siyo viongozi kukata

Ccm imesharudisha majina ya madiwani wote kitambo
 
Back
Top Bottom